Wataalam wa Rims za Aluminium

Wataalam wa Rims za Aluminium

Mr Bean.

Senior Member
Joined
Jan 25, 2015
Posts
185
Reaction score
128
Wadau ninahitaji kupata wataalam wa kurekebisha Rims za gari.

Aluminium Rims zangu zimepasuka na bado nazipenda; kama kuna mtu yeyote humu jukwaani anafahamu walipo wataalamu hao please anijulishe.

Nasikia kuna utaalamu wa kuzichomelea zinakuwa angalau.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wadau,

Nina hitaji kupata wataalam wa kurekebisha rims za gari, alminium rims zangu zimepasuka na bado nazipenda.

Kama kuna mtu yeyote humu jukwaani anafahamu walipo wataalam hao, please anijulishe; nasikia kuna utaalam wa kuzichomelea zinakuwa angalau.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wadau nina hitaji kupata wataalam wa kurekebisha Rims za Gari Alminium Rims zangu zimepasuka na bado nazipenda Kama kuna mtu yeyote humu jukwaani anafaham walipo wataalam hao pls anijulishe Nasikia kuna utaalam wa kuzichomelea zinakuwa angalau

Sent from my iPhone using JamiiForums

Nenda Tabata Dampo kama uko mjini Daslam.

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Wadau nina hitaji kupata wataalam wa kurekebisha Rims za Gari Alminium Rims zangu zimepasuka na bado nazipenda Kama kuna mtu yeyote humu jukwaani anafaham walipo wataalam hao pls anijulishe Nasikia kuna utaalam wa kuzichomelea zinakuwa angalau

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nashuri uweke na mahali unapopatikana ili iwe rahisi wataalamu kukusaidia

Na mimi nasubili hapa hao wataalam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom