Zero Conscious
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 254
- 519
Wachoraji wa 'kawaida' au wanaotumia software?Wakuu habari za wakati huu, ninatumai mu wazima wa afya.
Naomba kufahamu humu kama kutakuwa na wataalamu wa sanaa ya UCHORAJI, Aidha Mabango ya biashara, picha za kupamba ukutani au majengo ya biashara.
Kama mpo naomba tuwasiliane, au kama kuna mwenye groups za Whatsapp au telegram zinazohusiana na shughuli tajwa hapo juu anitumie links.
Asanteni sana
Kawaida
Wanaotumia rangi tu
Wakuu habari za wakati huu, ninatumai mu wazima wa afya.
Naomba kufahamu humu kama kutakuwa na wataalamu wa sanaa ya UCHORAJI, Aidha Mabango ya biashara, picha za kupamba ukutani au majengo ya biashara.
Kama mpo naomba tuwasiliane, au kama kuna mwenye groups za Whatsapp au telegram zinazohusiana na shughuli tajwa hapo juu anitumie links.
Asanteni sana
Muone kijana Masoud Kipanya au King KinyaWakuu habari za wakati huu, ninatumai mu wazima wa afya.