kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,887
- 5,687
Comreds hi! Hopes twajilinda vyema kwa kutulia nyumbani na Ku take precautions kwa kuvaa mask na kunawa mikono kwa sanitizers.
Kwa ufahamu wangu sote tuko chini ya Katiba inayotuongoza. Kuikanyaga katiba kwa sisi watu wa imani nisawa na kumkufuru Roho mtakatibu .
Mwalimu Nyerere aliwahi sema hakuna aliye juu ya katiba na kiongozi atakaye ibeza katiba hatufai.
Huyu ndugai anavunja katiba waziwazi mchana kweupe wote tukiona. Anamleta bungeni mtu aliye acha ubunge na kuhama chama. Huko CCM alikohamia hakujafanyika uchaguzi kumfanya kuwa mbunge kama wale wengine waliohama na kuchaguliwa tena.
Kama taifa inaonekana tumepoteza dira kabisa hatuongozwi tena na katiba Bali utashi wa watu na mawazo yao. Je, haiwezekeni Ndugai akafunguliwa mashitaka ya kuidharau katiba ya nchi iwe fundisho kwa viongozi wengine?