Wataalam wa Sheria msaada tafadhari

Wataalam wa Sheria msaada tafadhari

Mzalendo-Tz

Member
Joined
Apr 19, 2017
Posts
81
Reaction score
33
Wanajavi la siasa naomba kujua kuhusu sheria inasemaje mbunge asipotumikia jimbo lake takribani mwaka.

Maana tunaona Lissu anaumwa na hatumikii jimbo lake kwa muda sasa. Je, ni halali maana naona jimbo lipo wazi na watu wanataka kutumikiwa.

majibu plz na kama haikuhusu pita kushotoo
 
Nenda kawatumikie wewe.
Hayo majimbo mengine umeona cha maana kinachofanyika??
Unapenda kutumika sio?!?)
 
Wewe mmeo umemtumikia mara ngapi!??
 
Guys!this is Professional Forum kwanini mnajibu kihuni?
 
Back
Top Bottom