Wataalam wa sheria na kanuni za soka msaada wenu unaitajika

Wataalam wa sheria na kanuni za soka msaada wenu unaitajika

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Let say mchezaji X ana kadi mbili za njano alizopata kwenye mechi zilizopita katika ligi .kanuni zinasema ukifikisha kadi tatu za njano,hautacheza mchezo unaofuata.swali,ikitokea mchezaji X akapata kadi mbili za njano na red card kwa mchezo unaofiata ke zile yellow card mbili za awali zotafutika au zitaendelea,na je akipata straight red card je zile yellow card mbili zitafutika au
 
Back
Top Bottom