Wataalam wa sheria ya offside tunaomba ufafanuzi hapa

Kurahisisha mambo jaribu kurudisha huo mpira ugande kabisa kwa jamaa alietoa assist, ndio utajua exactly eneo alilokuwa mfungaji
Mpira ugande kwa mtoa assist, ugande at what moment? Mtoa assist ameugusa mara moja tu ? Picha itakupaje hizo taarifa ?

Refa anapoenda pembeni kuhakiki kilichotokea huwa anaangalia picha ?
 
Sawa mkuu nakurudishia nyuma tena. hapa nakuwekea kipindi ambacho mpira unaenda kwa Morrison, angalia position ya Luis yupo wapi?View attachment 1722329
Hivi wewe ushawahi kusomea kozi ya urefalii? acha uchambuzi wa kuangalia marudio ya picha za mpira wakati technolojia yetu ni macho ya kawaida wakati ambapo mpira unachezwa na maamuzi ya refa huheshimiwa coz we all knows our technology is poor au ushabiki wako ndio iwe shida kwa watu.....utopolo
 
Ndio hakuna off side.
Hapana kama atakaefunga alikua kwenye offside position wakati mpira unapigwa na mchezaji mwenzake inakua ni offside.

Ila kama mpiga shuti anapiga iwe shuti au pasi na mpira unamgonga mchezaji wa timu pinzani hata kama mchezaji mwenzake anakua kwenye offside position inakua sio offside.
 
Goli la Luis lilikua halikutakiwa kua goli halali kama line 2 angekua makini,maana wakati Morrisson anaugusa ule mpira kwa kichwa Luis alikua kwenye Offside position,

Ni sawa na goli la Fiston kwenye mechi na Polisi Tanzania,Fiston alikua ameotea wakati Kisinda anapiga ile pasi.

Ni muendelezo wa maamuzi mabovu kutoka kwa waamuzi wetu.
 
GOLI HALALI.
Sababu morrison hakuwa offside.na yeye ndo wa kwanza kuupiga mpira konde akamalizia.
Hata lile walilolikataa nalo ni goli halali.
Kwani sheria ya offide inaangalia position ya mtoa assist pekee (Morrison) au inaangalia position ya mfungaji wakati mpira unapigwa na mtoaji assist? Tuambie Luis alikuwa eneo lipi wakati mpira unapigwa kuja kwake
 
Wewe ni shabiki wa mpira na sio shabiki wa timu. Watu wanaenda kwenye mahaba ya usimba na uyanga wanaacha kuzungumzia sheria inasemaje.
 
Your browser is not able to display this video.

Utopolo mkiacha roho mbaya mtafanikiwa...

SSC for life 😍
 
kipa angeutoa mpira kwa mguu na mugalu akaunasa ule mpira akafunga.
Ni goli au sio goli?.
kumbuka mpira haujatoka upo uwanjani unaendelea
 
pale kulikuwa na krosi mbili tofauti.
Ya kwanza ile ya pembeni.
Na ya pili ni ile ya kichwa ya morrison.
Na morrison hakuwa kwenye offside.mpaka mpira unapigwa krosi ya pili kulikuwa na beki alikuwa anakwenda na konde boy
Kwani sheria ya offide inaangalia position ya mtoa assist pekee (Morrison) au inaangalia position ya mfungaji wakati mpira unapigwa na mtoaji assist? Tuambie Luis alikuwa eneo lipi wakati mpira unapigwa kuja kwake
 
pale kulikuwa na krosi mbili tofauti.
Ya kwanza ile ya pembeni.
Na ya pili ni ile ya kichwa ya morrison.
Na morrison hakuwa kwenye offside.mpaka mpira unapigwa krosi ya pili kulikuwa na beki alikuwa anakwenda na konde boy
Tusiende mbali tuangalie wakati Morrison anapiga mpira je Luis alikuwa eneo lipi onside au offside?
 
konde alikuwa anakimbia na mchezaji wa prison.
Aliyeua offside ni morrison.sababu yeye ndo wa kwanza kuugusa mpira.
Ila kama ile krosi ya kwanza ingefika moja kwa moja kwa konde basi ingekuwa kweli ni offside

Babu naona sheria za off side bado zinakusumbua tulia kazisome vizuri.Luis alikua off side,Goli la Mugalu ni halali hakua ameotea wakati Mohammed Hussein anapiga lile shuti.
 
Magoli yote mawili ya simba yalikuwa halali.
Ndo maaana hata tff wamekaa kimya.
Babu naona sheria za off side bado zinakusumbua tulia kazisome vizuri.Luis alikua off side,Goli la Mugalu ni halali hakua ameotea wakati Mohammed Hussein anapiga lile shuti.
 
konde alikuwa anakimbia na mchezaji wa prison.
Aliyeua offside ni morrison.sababu yeye ndo wa kwanza kuugusa mpira.
Ila kama ile krosi ya kwanza ingefika moja kwa moja kwa konde basi ingekuwa kweli ni offside
Ni wazi umeonekana haujui sheria ya offside
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…