Hiko kitu hakitakiwi kwenye hayo mambo.%0.01 is well within rounding off / margin of error.
Watu milioni 14 na laki 2 wapige kura, mshindi ashinde kwa zaidi ya kura 200,000 , halqfu unaleta figisu kwa kura 1,420?
Kwa mujibu wa Al-Jazeera, Ruto kapata kura 7,176,141. Raila kapata kura 6,942,930. Tofauti 233,211.
Sasa kati ya hizo 233,211 ukitoa 1,420 umpe Raila zote, bado unabaki na Ruto akiongoza kwa kura 231,791.
So, the error is irrelevant, because it does not change the outcome.
Na wewe ni kilaza.... Issue ya makadilio ya namba.. haiusiani na vitu au watu...Approximate inahusika na vitu na sio watu
Pale hesabu ilipaswa iwe 100%
Sijakwambia kinatakiwa au hakitakiwi.Hiko kitu hakitakiwi kwenye hayo mambo.
Hata ukuround off bado asilimia lazima ziwe 100% haiwezi kuzidi hata kidogo.
Kama unataka kuround basi round zote, yaan Odinga isomeke 49% badala ya 48.89%
Kwenye hali kama hii mara nyingi tunatumia, three decimal place, hapo hata hapo kama wangetumia namba ya nne kuiround ya tatu basi hesabu ingetally kabisa.
Mkuu majibu umekuja nayo tena mazuri sana! Natarajia mahakamani kutakuwa na wataalam wa Hesabu.Kwa mfano ukiwa namba yenye desimali nne kisha ukazikaribisha kwenye namba ya ukamilifu ukifanya majumuisho mwishoni lazima asilimia itazidi kama inavyoonekana
1. 12.4382...................................12.44
2. 24.5264...............................24.53
3. 37.1749.................................37.18
4. 50.7356 ............................50.74
124.8751 versus 124.89 (Tofauti yake ni 0.0149) ambayo ukiikaribisha kwenye namba kamili ina kuwa 0.02
Tanbihi: Asilimia imetafutwa baada ya kuzikaribisha namba kutoka kwenye desimali ndio ikaleta asilimia 100.01%
Maelezo :
Round a number up by using the ROUNDUP function. It works just the same as ROUND, except that it always rounds a number up. For example, if you want to round 3.2 up to zero decimal places: =ROUNDUP(3.2,0) which equals 4.
Please follow the link for further mathematical deduction insight:
Mfano hai:
Jumla ya kura ukijumlisha ni: 14,213,027
Rutto amepata: 7,176,141
Ambazo ni Asilimia: 50.48988508922132
Wao kwa undezi wameandika 50.49
Ni 0.01% au 0.001!0.01 ni Kura 1420
.01Ni 0.01% au 0.001!
Both are correct!
Kwa mfano ukiwa namba yenye desimali nne kisha ukazikaribisha kwenye namba ya ukamilifu ukifanya majumuisho mwishoni lazima asilimia itazidi kama inavyoonekana
1. 12.4382...................................12.44
2. 24.5264...............................24.53
3. 37.1749.................................37.18
4. 50.7356 ............................50.74
124.8751 versus 124.89 (Tofauti yake ni 0.0149) ambayo ukiikaribisha kwenye namba kamili ina kuwa 0.02
Tanbihi: Asilimia imetafutwa baada ya kuzikaribisha namba kutoka kwenye desimali ndio ikaleta asilimia 100.01%
Maelezo :
Round a number up by using the ROUNDUP function. It works just the same as ROUND, except that it always rounds a number up. For example, if you want to round 3.2 up to zero decimal places: =ROUNDUP(3.2,0) which equals 4.
Please follow the link for further mathematical deduction insight:
Kwenye uchaguzi kura Moja Ina maana kubwa sana kumbuka Kuna kura 10000 alipewa Ruto na IBEC watu wakaona walipohoji time ikaziondoa fasta je kwa Nini tusiamini kama haongezewaa zaidi ya hizo.Ngoja tusibiri tuoneKwamba mahakama itengue ushindi wa Ruto kisa hivyo vi decimal places😊. NEVER.