Wataalam wa Tally, Excel, QuickBook na Hesabu mtusaidie ile 100.01% ya Chebukati imekaaje?

Wataalam wa Tally, Excel, QuickBook na Hesabu mtusaidie ile 100.01% ya Chebukati imekaaje?

%0.01 is well within rounding off / margin of error.

Watu milioni 14 na laki 2 wapige kura, mshindi ashinde kwa zaidi ya kura 200,000 , halqfu unaleta figisu kwa kura 1,420?

Kwa mujibu wa Al-Jazeera, Ruto kapata kura 7,176,141. Raila kapata kura 6,942,930. Tofauti 233,211.

Sasa kati ya hizo 233,211 ukitoa 1,420 umpe Raila zote, bado unabaki na Ruto akiongoza kwa kura 231,791.

So, the error is irrelevant, because it does not change the outcome.
 
Hiko kitu hakitakiwi kwenye hayo mambo.

Hata ukuround off bado asilimia lazima ziwe 100% haiwezi kuzidi hata kidogo.

Kama unataka kuround basi round zote, yaan Odinga isomeke 49% badala ya 48.89%

Kwenye hali kama hii mara nyingi tunatumia, three decimal place, hapo hata hapo kama wangetumia namba ya nne kuiround ya tatu basi hesabu ingetally kabisa.
 
Approximate inahusika na vitu na sio watu
Pale hesabu ilipaswa iwe 100%
Na wewe ni kilaza.... Issue ya makadilio ya namba.. haiusiani na vitu au watu...

Sasa mfano amepata asilimia.. 48.99999999999999 na kuendelea... Je inqbidi iandikwe yote mpka mwsho..

Ila sipo uande wa ruto wala odinga.. nimetoa mfano wa hesabu tu
 
Hiko kitu hakitakiwi kwenye hayo mambo.

Hata ukuround off bado asilimia lazima ziwe 100% haiwezi kuzidi hata kidogo.

Kama unataka kuround basi round zote, yaan Odinga isomeke 49% badala ya 48.89%

Kwenye hali kama hii mara nyingi tunatumia, three decimal place, hapo hata hapo kama wangetumia namba ya nne kuiround ya tatu basi hesabu ingetally kabisa.
Sijakwambia kinatakiwa au hakitakiwi.

Nakwambia the difference is irrelevant when it comes to deciding the winner, kwa sababu haibadilishi matokeo kwamba Ruto kashinda.

Kwamba, ukiiondoa hiyo 0.01% yote kutoka kwa Ruto, ubaki na 100%, bado Ruto atakuwa ameshinda.

So, the 0.01% difference is not enough to change the outcome of the election, therefore, foundationally irrelevant.

Kungekuwa na tofauti ambayo ukiitoa kura za Ruto zinakuwa ndogo kuliko za Raila, hapo kungekuwa na hoja.
 
Kwa mfano ukiwa namba yenye desimali nne kisha ukazikaribisha kwenye namba ya ukamilifu ukifanya majumuisho mwishoni lazima asilimia itazidi kama inavyoonekana
1. 12.4382...................................12.44
2. 24.5264...............................24.53
3. 37.1749.................................37.18
4. 50.7356 ............................50.74
124.8751 versus 124.89 (Tofauti yake ni 0.0149) ambayo ukiikaribisha kwenye namba kamili ina kuwa 0.02

Tanbihi: Asilimia imetafutwa baada ya kuzikaribisha namba kutoka kwenye desimali ndio ikaleta asilimia 100.01%

Maelezo :

Round a number up by using the ROUNDUP function. It works just the same as ROUND, except that it always rounds a number up. For example, if you want to round 3.2 up to zero decimal places: =ROUNDUP(3.2,0) which equals 4.
Please follow the link for further mathematical deduction insight:

Mkuu majibu umekuja nayo tena mazuri sana! Natarajia mahakamani kutakuwa na wataalam wa Hesabu.
 
Madhara ya kukaribishia hayo. Mfano unakuta Odinga ana 48.846 wao wakaona iwe 2 decimal places.
Mfano hai:

Jumla ya kura ukijumlisha ni: 14,213,027
Rutto amepata: 7,176,141
Ambazo ni Asilimia: 50.48988508922132
Wao kwa undezi wameandika 50.49
 
Kwa mfano ukiwa namba yenye desimali nne kisha ukazikaribisha kwenye namba ya ukamilifu ukifanya majumuisho mwishoni lazima asilimia itazidi kama inavyoonekana
1. 12.4382...................................12.44
2. 24.5264...............................24.53
3. 37.1749.................................37.18
4. 50.7356 ............................50.74
124.8751 versus 124.89 (Tofauti yake ni 0.0149) ambayo ukiikaribisha kwenye namba kamili ina kuwa 0.02

Tanbihi: Asilimia imetafutwa baada ya kuzikaribisha namba kutoka kwenye desimali ndio ikaleta asilimia 100.01%

Maelezo :

Round a number up by using the ROUNDUP function. It works just the same as ROUND, except that it always rounds a number up. For example, if you want to round 3.2 up to zero decimal places: =ROUNDUP(3.2,0) which equals 4.
Please follow the link for further mathematical deduction insight:

Round off ya 37.1749…………37.17 to two decimal places
 
Watu mnapaswa kufahamu haya.

1. Kinachoangaliwa kwanza (na wakati wote) ni kura halisi ambazo kila mgombea alizipata kwa kuoanisha na jumla ya kura zote halali.

2. Uwiano wa asilimia upo katika kutafsiri tu idadi ya kura kwa lugha nyepesi ya kueleweka kutolea kitakwimu kwa umma.

3. Tasfiri ya kura kwa asilimia iliyovutwa (Round off percentage) inapojumlishwa inaweza isikupe exactly 100%, ama ipungue au kuzidi. Na hii sio issue kimahesabu (round off error), ni jambo linalojulikana, na inapaswa kupuuziwa kimahesabu (neglected error).

4. One or two decimal places round off ndio standard ya kutokea taarifa za kitakwimu kwenye maeneo mengi. Ndio global standard.
 
Mfano
48.846………48.85

50.489………50.49

Mpaka hapo tayari kuna ubatili kule kwenye hexadecimal wanasema tarakimu zinaanzia

0——9 kwa maana hiyo ukichukua tarakimu kati ya 0——9 huwezi ukazijumlisha na kupata jawabu zaidi ya 18 ila hawa ndugu zangu inaonekana dhahiri walipata 21…..29

Ukichukua 6+9 = 15 utaandika 5 kisha ile moja ndio utakuja kuongezea kwenye jawabu la mbele yake, 4 + 8

Tatizo lilianzia hapo kwenye round off to two decimal places, approximation ya kwanza iliongezwa moja na hiyo ya pili pia moja iliongezwa kwa maana hiyo ni sawa na kujumlisha tarakimu mbili na kupata jawabu zaidi ya 18
 
Kwamba mahakama itengue ushindi wa Ruto kisa hivyo vi decimal places😊. NEVER.
Kwenye uchaguzi kura Moja Ina maana kubwa sana kumbuka Kuna kura 10000 alipewa Ruto na IBEC watu wakaona walipohoji time ikaziondoa fasta je kwa Nini tusiamini kama haongezewaa zaidi ya hizo.Ngoja tusibiri tuone
 
Back
Top Bottom