Wataalam wa uchimbaji dhahabu (maduara) ni eneo gani bora kuwekeza kwa mtaji mdogo?

Wataalam wa uchimbaji dhahabu (maduara) ni eneo gani bora kuwekeza kwa mtaji mdogo?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Nimeona watu wanamiliki maduara, wengine wanamiliki crushers tu, wanasaga mawe ya watu, wengine wanamiliki plant au elusion plants.

Wengine wanamiliki detectors wanakodisha, wengine ni wanunuzi wa dhahabu end products, wengine wanarundika michanga (marudio) yenye PPM nzuri na kuuza.

Kwa mtaji mdogo angalau million tano, ni eneo gani katika maeneo ya machimbo madogo unaweza kuwekeza mdogomdogo ili baadaye uwe mkongwe wa hii rasilimali ya taifa?

Naomba uzoefu wakuu na ushauri.
 
Anzisha "mwalo" na crusher wachimbaji wadogo wadogo wanakuja kusaga na kuosha kwenye mwalo wako, kusanya mabaki ya mchanga uliorundika ana kwenye mwalo wako pima ppm kama inalipa nenda plant (upo uwezekano wa 95% ya kuibiwa huko plant) ukiona vipi uza Hilo rundo la mchanga maarufu kama rudio, mdogo mdogo utafikia mtaji mkubwa.
 
Daaah hapa ndio penyewe sasa... ngoja niwasubiri wana apolo waje hapa, kwa ufupi umenisaidia na mimi huu uzi wako ni kama mawazo yangu tu. [emoji28]
 
Asante mkuu
 
Daaah hapa ndio penyewe sasa... ngoja niwasubiri wana apolo waje hapa, kwa ufupi umenisaidia na mimi huu uzi wako ni kama mawazo yangu tu. [emoji28]
Kweli mkuu.
 
Pima marundo..peleka plant huko kuwa makini sana nako kupingwa kwingi...pata mzigo wako uza.

Rudi tena kaendelee kupima na kununua marudio.

#MaendeleoHayanaChama
Tunacontrol vipi upigwaji plant.

Au mzigo ukifika tunapima wotena kutoka kwenye sample tunapata forecast ya outputkwapamoja
 
Mvhanganuo wa gharama za kuanzisha mwako au crushing site umekaaje wakuu
 
Back
Top Bottom