matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Asante mkuuAnzisha "mwalo" na crusher wachimbaji wadogo wadogo wanakuja kusaga na kuosha kwenye mwalo wako, kusanya mabaki ya mchanga uliorundika ana kwenye mwalo wako pima ppm kama inalipa nenda plant (upo uwezekano wa 95% ya kuibiwa huko plant) ukiona vipi uza Hilo rundo la mchanga maarufu kama rudio, mdogo mdogo utafikia mtaji mkubwa.
Kweli mkuu.Daaah hapa ndio penyewe sasa... ngoja niwasubiri wana apolo waje hapa, kwa ufupi umenisaidia na mimi huu uzi wako ni kama mawazo yangu tu. [emoji28]
Tunacontrol vipi upigwaji plant.Pima marundo..peleka plant huko kuwa makini sana nako kupingwa kwingi...pata mzigo wako uza.
Rudi tena kaendelee kupima na kununua marudio.
#MaendeleoHayanaChama
Wanakuja.Mvhanganuo wa gharama za kuanzisha mwako au crushing site umekaaje wakuu
Crusher moja bei yake ni kuanzia mil9 hadi 25 mpaka hapo kwa mtaji wako unapyaya labda ukawe digaraMvhanganuo wa gharama za kuanzisha mwako au crushing site umekaaje wakuu