Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,118
Shukran sana na mm nilijua hilo nikadhan muda ni mfupi sana kuiwezesha ku trip off sbb ammeter ilipanda ghafla nikitegemea irudi ikae sawa ikabaki huko huko hadi cutoffmotor ikianza inavuta amps nyingi, na hii inawezadumu mpaka sekunde kadhaa then amps inashuka
motor yako ni 750W, so ndani ya sekunde chache za mwanzo ikianza, inavuta mpaka 6x750W = 4500W au zaidi, kitendo icho 2kVA stabilizer inatafsiri kama over-load so inakata
work-around ya kwanza ni kutafuta stabilizer ya kVA kubwa zaidi
motor ikianza inavuta amps nyingi, na hii inawezadumu mpaka sekunde kadhaa then amps inashuka
motor yako ni 750W, so ndani ya sekunde chache za mwanzo ikianza, inavuta mpaka 6x750W = 4500W au zaidi, kitendo icho 2kVA stabilizer inatafsiri kama over-load so inakata
work-around ya kwanza ni kutafuta stabilizer ya kVA kubwa zaidi
Msaada Bro Kwa Dar soft starter ya 1kw motor naweza kuipata wapi ?Halafu unakuta hiyo pump haina soft start
Ni matumaini hatujambo sote,
kama heading ilivyo nimefunga single phase 2kva Automatic Voltage Stabilizer ili ku protect submersible water pump 1hp (750w) lakini imeshindwa kubeba ku trip off...
Ukiondoa hiyo AVR pump inafanya vizuri tu
Na hiyo AVR kwenye shughuli zingine km majiko, deep freezer iko sawa tu
Nashindwa kuelewa NAOMBA USHAURI