Wataalam wa umeme ushauri 2kva Stabilizer kushindwa kubeba water pump 1hp (750w) na ku trip off

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
1,092
Reaction score
1,118
Ni matumaini hatujambo sote,
kama heading ilivyo nimefunga single phase 2kva Automatic Voltage Stabilizer ili ku protect submersible water pump 1hp (750w) lakini imeshindwa kubeba ku trip off...
Ukiondoa hiyo AVR pump inafanya vizuri tu
Na hiyo AVR kwenye shughuli zingine km majiko, deep freezer iko sawa tu

Nashindwa kuelewa NAOMBA USHAURI
 
motor ikianza inavuta amps nyingi, na hii inawezadumu mpaka sekunde kadhaa then amps inashuka

motor yako ni 750W, so ndani ya sekunde chache za mwanzo ikianza, inavuta mpaka 6x750W = 4500W au zaidi, kitendo icho 2kVA stabilizer inatafsiri kama over-load so inakata

work-around ya kwanza ni kutafuta stabilizer ya kVA kubwa zaidi
 
Shukran sana na mm nilijua hilo nikadhan muda ni mfupi sana kuiwezesha ku trip off sbb ammeter ilipanda ghafla nikitegemea irudi ikae sawa ikabaki huko huko hadi cutoff
 
motor ikianza inavuta amps nyingi, na hii inawezadumu mpaka sekunde kadhaa then amps inashuka

motor yako ni 750W, so ndani ya sekunde chache za mwanzo ikianza, inavuta mpaka 6x750W = 4500W au zaidi, kitendo icho 2kVA stabilizer inatafsiri kama over-load so inakata

work-around ya kwanza ni kutafuta stabilizer ya kVA kubwa zaidi

Halafu unakuta hiyo pump haina soft start
 
Jaribu kutafuta fundi apime hyo single phase yako.. Yaweza kuwa umeme unaokuja hapo ni mdogo sana au mkubwa sana ambayo hyo avs inashindwa ku regulate.. Kwa hyo ili kulinda kifaa chako ina sababisha ku trip..

Na ukiweka online katika power supply ina run labda ni kwa sbbu kifaa chako kinaweza pokea umeme huo.. Lakn ufanyaji kazi utakuwa very low efficiency ambayo utapelekea machine yako isidumu..

Ni ushauri mdogo tu..

Back
Top Bottom