Shida Iko hivi mkuu, DC naona inachelewa sana kupeleka moto kwenye Simu.. Sasa sijajua kwamba inatakiwa nipate DC yenye uwezo gani... Just imagine naweza kuweka Simu kwenye DC lisaa limoja then nakuta imeingia 3% onlyEven if hutaweka load, as long as inverter iko ON battery inatumika.
Kama walivosema wengine juu.
Inverter sio necessary sana kwa matumizi ya simu na taa.
Kuna charge controller zenye option ya USB au charger za pweza zenye miguu mingi.
Battery, panel, inverter size gani?
Shida Iko hivi mkuu, DC naona inachelewa sana kupeleka moto kwenye Simu.. Sasa sijajua kwamba inatakiwa nipate DC yenye uwezo gani... Just imagine naweza kuweka Simu kwenye DC lisaa limoja then nakuta imeingia 3% only
unachokisema mimi nimeshakiexperience hapo shida ni kuwa hiyo DC haina current ya kutoshaShida Iko hivi mkuu, DC naona inachelewa sana kupeleka moto kwenye Simu.. Sasa sijajua kwamba inatakiwa nipate DC yenye uwezo gani... Just imagine naweza kuweka Simu kwenye DC lisaa limoja then nakuta imeingia 3% only
Uko sahihi unacho experience, obviously expected.Shida Iko hivi mkuu, DC naona inachelewa sana kupeleka moto kwenye Simu.. Sasa sijajua kwamba inatakiwa nipate DC yenye uwezo gani... Just imagine naweza kuweka Simu kwenye DC lisaa limoja then nakuta imeingia 3% only
At no-load, DC system is more efficient than AC system.unachokisema mimi nimeshakiexperience hapo shida ni kuwa hiyo DC haina current ya kutosha
Binafsi niliamua kufunga charger controller yenye option ya USB na ina supply 5VDC 2A ambayo inajaza smart phone bila shida na hapa lazima uwe na USB Cable nzuri.
kuhusu kuwasha taa tafuta taa za DC japo usizifunge direct kwenye battery, tafuta hiyo charger controller yenye option ya USB lakini pia ina DC outlet kwaajili ya taa ambayo unaweza set kuiwasha manual, ama ikawasha taa jua likizama ama ikawa always on endapo mfumo wa taa zako una switch za kujitegemea.
Kuhusu Invertor kumaliza sana umeme sio kweli, ikiwa imeungwa na haina mzigo inatumia umeme kidogooo sana sanaa....hata feni pia haili umeme hapo naona hata battery lako litakuwa na uwezo mdogo kulingana na mzigo uliolipa, kwahiyo usije ukaiondoa maana hiyo ina kazi ya kupoza humo, Invertor unaweza kuitumia kwa matumizi fulani fulani tu
ukiondoa fan, inverter itakuwa na maisha mafupiJe, kwa hali ya kawaida ninaweza kuondoa feni ya inverter, ili kupunguza matumizi ya umeme wa betri
😂😂Utoe feni tena?? Mosfet zinavyochemka hiyo invetor Masaa 2 hayafiki bila feni unazikaanga Mosfet zote na hapo unakosa ata hayo masaa machache unayopata umeme.Wakuu naomba mawazo yenu.
Nipo Huku Kijijini na umeme wetu hasa ni solar power.
Kwenye vifaa vyangu Nina Inverter Ila tatizo la hii inverter ni kwba inatumia sana hali inayopelekea umeme kuishe na taa kushindwa kuwaka.
Je, kwa hali ya kawaida ninaweza kuondoa feni ya inverter, ili kupunguza matumizi ya umeme wa betri.
Kwanza hii inverter inanipigia sana kelele usiku nikiwa nachaji kimeo changu
Achana na inverter siku hizi wamejitahidi kila kifaa (ukiondoa vile vikubwa vikubwa) wanatengeneza na cha dc, labda kompyuta na pasi tu ndo sijaona...
Kumbe!? Vipi nazo zinakuwa zinatumia ac au ni dc pekee?Pasi zipo ndugu.
Hapo kwenye voltage drop reducing, ni thicker au shorter original cable?Uko sahihi unacho experience, obviously expected.
Problem is USB port ya charge controller, kobe na pweza charger aren’t actually phone chargers bali ni 5V DC source.
1. Technically ni DC source ambayo hairegulate voltage required by the phone BMS.
2. Lower level engineering used
Follow me as i dig a little deeper into electronics. I’ll try to lean in a layman way.
Mobile phones battery ni Lithium ion battery.
Charging cycles za li-ion battery zinakua dictated na BMS firmware iliyopo kwenye simu. Ili Battery ichaji, 5V DC source inatakiwa iwe enginered clean, close to zero voltage fluctuations.
Otherwise BMS itakua ina ruhusu power system relay ON-OFF based on cleanliness ya voltage. The number of times it disconnects power, the longer the battery % stumbles.
Overcharge ina rise temperature leading to fire explosion of Li-ion, eventually.
AC adapters ziko precisely engineered, undoubtedly.
Electrochemistry ya hii battery inaruhusu battery ichajiwe to full charge kwa variable time with some other variables kept constant under CCCV algorithm.
Kwa maana hiyo sasa battery ya simu ya 4000mAh (4 Ampere hour) inamaanisha hii battery inaweza kujaa roughly kwa lisaa kama inapata 4 Ampere kutoka kwenye charger, inaweza kujaa kwa masaa 2 kama ikipata 2A kutoka kwenye charger, inaweza kujaa masaa 3 kama ikipata 1.3A kutoka kwenye chaja, etc.
There’s time limit. Taking too long kills a battery.
While producing these amps, voltage should not surge.
Solutions.
1. While 5V source is not clean, tumia original USB cable (thicker) ku reduce voltage drops.
2. Kama simu ya gharama, Tafuta 50W micro inverter specifically for phone charging, hapo utatumia AC adapter ya kawaida. Everything will be fine.
Resistance reduction strategiesHapo kwenye voltage drop reducing, ni thicker au shorter original cable?
Got you.Resistance reduction strategies
1. The thicker the better
2. The shorter the better
There are more thickness-based USB varieties than length-based ones.