Wataalam wa umeme wa solar nisaidieni hapa

A comment from the Electronics Engineer...
 
Ni kwanini wanao chaji kwa solar wanalalamika battery ya simu kufa mapema?
 
Ni kwanini wanao chaji kwa solar wanalalamika battery ya simu kufa mapema?
-Slow charging (takes longer to fully charge)—-kills battery
- Unstable voltage —overvoltaging even in few seconds kills battery slowly

230VAC/5VDC adapter takes care of all these as it was perfectly engineered for the job.
 
Hata ukiwa unatumia inverter bado utahitaji hicho kifaa?
 
Kwenye dc hupat chaja ya 33W
 
Ni chaja hiyo. Utahitaji
Kama nimekuelewa, ili battery ya simu iwe salama nikichajia kwenye solar kwa kutumia chaja ya AC iliyokuja na simu pamoja na uwepo wa inverter inayo badili umeme wa DC kuwa AC bado nitahitaji hiyo adopter ya 230v!

Yani kabla umeme wa solar kutoka kwenye inverter kwenda kwenye vifaa vya AC lazima ianze hiyo adopter si ndio mkuu?

Pia hiyo adopter ni hizi hizi plug za kawaida za tronix?
 
yea, kichwa cha chaja ndiyo adapter, sio top plug
 
Attachments

  • A8D26BD1-30E4-4C12-A19E-5FD72E8FDE62.jpeg
    10.4 KB · Views: 8
Mkuu umetisha sana, na sisi ambao hatujakupata vizuri tuna comment wapi? 😂🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…