Wataalam wa utrasound (sonographer)

GIPAMA

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Posts
1,103
Reaction score
541
Wataalam wa utrasound, (sonographers) nisaidieni kusoma maelezo hayo, na mnisaidie kufafanua kitaalamu, hasa kwenye FHR na GA.... Wife alienda kufanya vipimo, but kama mnavojua wajawazito wanakuwa na changamoto zao, hataki kabisa kuniambia kuwa walimwambia nn, badala yake ananiambia kuwa soma hapo.
 
Huduma ya utralsound mahospitalin ni kiasi gan ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka ushapata majibu.
Hakuna kibaya hapo, GA ni umri wa mimba, ina wiki 28(inaenda mwezi wa 7), mtoto ni mmoja, kageuka vizuri, mapigo yake ya moyo yako vizuri pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka ushapata majibu.
Hakuna kibaya hapo, GA ni umri wa mimba, ina wiki 28(inaenda mwezi wa 7), mtoto ni mmoja, kageuka vizuri, mapigo yake ya moyo yako vizuri pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana. Majibu ya kitaalam na yenye kueleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…