Wataalam wa utrasound (sonographer)

Wataalam wa utrasound (sonographer)

Bila shaka ushapata majibu.
Hakuna kibaya hapo, GA ni umri wa mimba, ina wiki 28(inaenda mwezi wa 7), mtoto ni mmoja, kageuka vizuri, mapigo yake ya moyo yako vizuri pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakin mzee, wiki 28 c tayari ni miez saba, yaan 28÷4=7 how comes umesema kuwa inaenda mwez saba, wakati hapo inaonesha 28weeks and 1day.
Hesabu huwa zinakuwaje hapo?
 
Lakin mzee, wiki 28 c tayari ni miez saba, yaan 28÷4=7 how comes umesema kuwa inaenda mwez saba, wakati hapo inaonesha 28weeks and 1day.
Hesabu huwa zinakuwaje hapo?
Kwa hiyo kiswahili tu hapo ndio tatizo mkuu. Ok basi nitumie neno inafika, sio inaenda
 
Back
Top Bottom