Wataalam walioko kwenye Ajira za serikali ni mambumbu ukilinganisha na hawa wanaojiajiri huku kitaa.

Hakuna IT anapitia psrs alafu anakua kilaza....hao walipata kabla ya mfumo au kwa connection...
Practical za psrs kama hujui huwez kubahatisha
Itakua hao sasa, jamaa anachojua nikuelekeza watu kulogin kwenye HOTHOMIS na kuwasha na kuzima router .,..Aibu kabisa
 
Punguza hasirร  kaka za kukosa ajira ,hao walimu wa private unaowasifia kwanini wanawachuja wanafunzi kwa interview na kuwawekea wastani kila kidato kwanini wasiwafundishe wote halafu mwishoni tuone matokeรฒ
 
Hao wa private unaowasifia kwani wamesoma vyuo gani? Si hivihivi kama ni wazuri kiasi hicho kwanini wanafunzi wanawekewa interview na wastani kila kidato? Wawafundishe wote kama sisi tunaopokea kila mtu ,private ni biashara
 
Aaahaaw
 
Subir uone walimu na watu wa afya wanaopita psrs alafu ulinganishe na wale zoazoa
 
Punguza hasirร  kaka za kukosa ajira ,hao walimu wa private unaowasifia kwanini wanawachuja wanafunzi kwa interview na kuwawekea wastani kila kidato kwanini wasiwafundishe wote halafu mwishoni tuone

Hao wa private unaowasifia kwani wamesoma vyuo gani? Si hivihivi kama ni wazuri kiasi hicho kwanini wanafunzi wanawekewa interview na wastani kila kidato? Wawafundishe wote kama sisi tunaopokea kila mtu ,private ni biashara
Hoja hapa ni kutokuwa creative na innovative kwenye maeneo yao ya kazi. Ni mwendo wa kufanya ordinary na kubaki mbumbumbu. Michujo ipo ili wale ambao hawana sifa wasiendelee mbele wapikwe tena upya ili wakiiva wanasogea mbele.
 
ni kwasababu tu wewe umekosa hizo ajira mzee, usiwatukane ivyo, wengine wake zetu wapo huko. kuwa na heshima basi.
 
Daaah aiseee
 
Ahsante kwa kutunanga, tunaanza kujirekebisha kwa kupiga shule ku update oblongata.

Hata hivyo ZINGATIA MAOKOTO nchi yenyewe hii ukiwa serious nayo unaweza kuchanganyikiwa mwenyewe
 
Ni kweli kabisa,ila ungetuacha tu maana huna msaada kwetu...tunaridhika na hikihiki maisha yanaendelea
Sasa Hadi kusema likitambi unamaanisha Nini dogo!! Acha dharau, hata wewe itakuwa na likitambi
 
mentality za muafrica
 
Hapa tatizo tunalielekeza kwa Serikali. Walimu wa Private ni wazima sana kwenye masomo. Kwa mfano,mwalimu wa Physics anayefundisha fedha school yupo pouwa sana huwezi mkuta anababaisha kama hawa waliopo huku kwenye shule za serikali. Nakumbuka nikiwa Advance kuna mnoko mmoja wa kinyantuzu mbuzi sana yule jamaa. Yaani kuna jamaa alikujaga kutufundisha alikuwa anajua eti akataka yeye ndio awe mwalimu wa Tuition akaanza kumpiga vita mwamba ikiwemo kuzuia wanafunzi kwenda kwenye hiyo center. Sasa huyu mwalimu wa kidumu na mfagio ni mbovu mbovu sijawahi kuona. Anajidai eti nilisoma PCB nikafaulu ila ukipeleka maswali ya Chem au Physics au Math hamnamo. Wivu tu amejaza mashabu ya kula .mshahara wa Bure huku haleti chachu kwenye matokeo ya wanafunzi.
 
Mawazo ya hovyo sana haya, na ndio ukweli wenyewe kwenye akili zetu waafrika. Unashindwa kufanya kazi kwa Bidii unaogopa kurogwa. Kazi sana kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ