Wataalam walioko kwenye Ajira za serikali ni mambumbu ukilinganisha na hawa wanaojiajiri huku kitaa.

Miaka hiyo nilikosa ajira serekalini kisa najua komputa

Kwenye interview nilikuwa nawasizidi maarifa interviewer nilikosa kazi
 
Hasa hawa walioko kwenye Halmashauri zetu ni majanga
 
Miaka hiyo nilikosa ajira serekalini kisa najua komputa

Kwenye interview nilikuwa nawasizidi maarifa interviewer nilikosa kazi
Wivu wa kijinga sana huo, kisa myu kakuzidi unamkataa anaogopa kuondolewa kwenye kiti chake.
 
Nawewe fanya kazi halmashauri tuone kama utakua competent
 
Wewe mwenyewe haueleweki.
Endelea kujitolea.
 
Nadhani fani ya IT ndio imejaa mambumbumbu watupu.

Zaidi ya kuunganisha projecta na computer kwenye mukutano vikao na semina za halmashuri hawana waliwezalo hawa jamaa
 
Umeongea ukweli, na wanaokupinga humu ndo mambumbumbu wenyewe sasa.
 
Je unaweza kumlinganisha Tundu Lissu, Kibatala et al na mwanasheria gani?

It is obvious, bright individuals never get hired in government sectors.
 
Nadhani fani ya IT ndio imejaa mambumbumbu watupu.

Zaidi ya kuunganisha projecta na computer kwenye mukutano vikao na semina za halmashuri hawana waliwezalo hawa jamaa
Na kuformat Flash iliyogoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…