IKUNGURU IJIRU CHUKU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2021
- 484
- 545
Kwa mkanganyiko huu, inaonesha wazi hakuna sheria maalum ya kiwango au asilimia za makato kwasababu NI WIZI!Viwango vya juu vya tozo ya Serikali vimepunguzwa kutoka sh. 7,000/- hadi 4,000/-(kwa wanaotuma zaidi ya sh. 3,000,000/-). Viwango vya chini vimepunguzwa kutoka sh. 100/- hadi shilingi 10/- (wanaotuma kati ya sh. 100/- hadi 2,999/-)
UFAFANUZI WA KINA UTATOLEWA NA WIZARA YA FEDHA