Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
Dah! Unaezakuta ni kweli maana hata mimi ilianzaga hivohivo hadi nikafa.
Mkuu hebu jutuze kwa sasa uko peponi ama motoni? Na vipi haya yote yanayozungumzwa na manabii kuhusu huko uliko whether mbinguni/Motoni ni kweli? Na bro,hebu tuambie ni kweli shetani ni mkorofi in that extent ama wanamsema vibaya tu?
Kuhusu kufa nilikufaga mwaka 1492 ambapo nilikuwa naishi mtaa wa sumbaqha kijiji fulani kilichoko nchini Iran,
Nilikuwa nasumbuliwa kama huyu jamaa mara ya mwisho ikanitokea hiyo hali ghafla nikajikuta nipo mazingira mengine kabisa! Huwezi amini ilinichukua muda mrefu kuizoea ile hali.
Kuhusu shetani ni kwamba ule uovu tuufanyao ndio umetafsiriwa kama shetani..... Moto wa jehanam ni uongo tu mkuu ukifanya uovu hasara utayopata nikwamba kuna stage utashindwa kuvuka ambayo ni bora kuliko ya kibinadamu ndio maana na mimi nikazaliwa tena.
Tamaa yako usiiweke kwenye mwili ambao utauacha bali iweke kwenye kutafuta ukweli tu ili uvuke hiyo stage uingie iliyo bora zaidi.... Yaani kama game vile. Ukishindwa kuvuka unazaliwa tena. Maana utajikuta ukirandaranda ovyo na ndio utaanza kutaget mwili unakaribia kuzaliwa ili uingie uzaliwe upya😛
Dah! Unaezakuta ni kweli maana hata mimi ilianzaga hivohivo hadi nikafa.
Nice experience, hukufanikiwa kuchukua walau picha mbili tatu?
Dah! Unaezakuta ni kweli maana hata mimi ilianzaga hivohivo hadi nikafa.
kweli jf ni nouma.....hadi nimesahau kama kuna watu wanakatwa dodoma
Takrban miaka mia tano (500) niliyokaa kule ilikuwa mfano wa kuhisihisi tu! Mapichapicha yapo kwenye akili mengi tu tatizo nikimuelezea mtu akielewa anakuwa kama kichaa sijui kwa nini maana hata babamdogoangu nilimwambia akaenda kujinyonga.
Daaah mkuu kwa hiyo hata unavyonisimulia hapa nikishaelewa naweza kwenda kujinyonga?
Mimi nina tatizo usiku nasikia masikio yanaimba nilienda kwa dr wa ENT muhimbili akaniambia kuna hitilafu kati ya system ya hewa inayopitia masikioni je kuna ukweli
Cooling system yako ni ya hewa siyo maji, unahitaji air-cleaner mpya na gasket ili kuziba sehemu zinazopitisha hewa karibu na exhaust ya sikio lako.
Aisee sijapata muda wa kutafsiri ila kama utaweza kula hizi nondo hapa Wikipedia
Nyie watu jamani...ndio taarifa gani hii unampa mwenzako?Mkuu sio dalili kwamba unakaribia kufa kweli? Hicho kitu kama sio Israili mtoa roho sijui kwakweli...
Nyie watu jamani...ndio taarifa gani hii unampa mwenzako?
Mkuu hebu jutuze kwa sasa uko peponi ama motoni? Na vipi haya yote yanayozungumzwa na manabii kuhusu huko uliko whether mbinguni/Motoni ni kweli? Na bro,hebu tuambie ni kweli shetani ni mkorofi in that extent ama wanamsema vibaya tu?
Wanamsema vibaya kama EL?