Jamani Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 32'Tatizo ninawashwa sana kwanzia kwenye mapaja hadi sehemu nyeti na hasa nyakati za usiku kulala inakuwa tabu.nimejaribu kupima mkojo na STI majibu safi,dr.akanipa tube ya sonadem na dawa za fluconazone lakini wapi ni wiki ya tatu sasa sijapata nafuu,wengine wasema ni joto........yaani sijielewi wakuu naomba msaada kwa anayejiu tiba au amewahi kuugua ugonjwa huu alitumia nini akapona