Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,611
- 2,881
Hiki ni kimeo kabisa kaka, maajabu ni ya Google Camera.Your phone it take pic clearly whch phone is that
Sawa mkuu, nashukuru mi hofu yangu ilikua kwamba hilo tobo moja linaweza shindwa kusukuma all two together.Kwa ninavyoelewa left na right ni kwa ajili ya Stereo, kutengeneza ile effect, ukitumia left tu ama right tu itakua ni Mono, vile vionjo vitapotea ila kazi itafanya. Jaribu utupe mrejesho mkuu.
Hizi analog hazina shida, ukitafuta tu splitter hapo i hope itafanya kazi.Sawa mkuu, nashukuru mi hofu yangu ilikua kwamba hilo tobo moja linaweza shindwa kusukuma all two together.
Sorry na hizo effects za stereo ndo zikoje ambazo itamiss.Hizi analog hazina shida, ukitafuta tu splitter hapo i hope itafanya kazi.
Mkuu, Splitter naamini ndo kama hio hapa, vipi hapa ntakua nimekwepa hio stereo problem.Hizi analog hazina shida, ukitafuta tu splitter hapo i hope itafanya kazi.
effect za stereo zinakuja toka huko kwenye production, kama sauti haikuwekewa stereo effects basi hata utumie L na R itatoka Mono, na kama iliwekewa stereo basi kuziunga kwa njia moja zitapiga Mononimekwepa hio stereo problem
Sidhani kama itatatua tatizo, its just itakupa urahisi wa kuconect.Mkuu, Splitter naamini ndo kama hio hapa, vipi hapa ntakua nimekwepa hio stereo problem.View attachment 2724418
Nashukuru sana mkuu.effect za stereo zinakuja toka huko kwenye production, kama sauti haikuwekewa stereo effects basi hata utumie L na R itatoka Mono, na kama iliwekewa stereo basi kuziunga kwa njia moja zitapiga Mono
njia y L ina amplifier yake ndani ambayo itasukuma twitter ya MINIMUM Impedance X
njia ya R pia ina amplifier yake ndani pia ambayo itakusukuma impedance ile ile ya X
kama utaunga speaker zote 2 ( in parallel ) kwenye njia moja, na kama kila speaker ina impedance ya Y
ukiziunga in parallel (kwa kutumia hiyo splitter, na assume inaunga izo speakers in parallel mode/SAMBAMBA ) jumla ya impedance inakua Y/2
sheria ni kwamba hii Y/2 inabidi izidi impedance X tajwa ya hapo juu
Shukran sana mkuu kwa msaada.Sidhani kama itatatua tatizo, its just itakupa urahisi wa kuconect.