Engine ya gari ikipata moto unapoza na maji ya baridi. Miiki yetu ni mfano tu wa machine yeyote ile. Ni hatari Sana, Sana, Sana, miili yetu kukaa kwenye joto jingi. Ndiyo maana mwili Wenyewe una regulate kwamba Sana nahitaji ubaridi au joto. Mwili ukichemka na joto ni hatari Sana. That's it. Anayekudanganya kwamba tusitumie maji ya baridi wakati mwili umechemka ni muongo. Tena ni muongo mkubwa. Mwili ni machine. Una regulate