Wataalamu wa afya,tupeni muongozo

Wataalamu wa afya,tupeni muongozo

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
13,149
Reaction score
6,994
Nategemea wadau hamjambo.La muhimu sisi watu wa kawaida,tusiokuwa wataalamu wa afya,huwa hatujui ni hospital ipi kwa kupeleka mgonjwa wa maradhi yapi.Huwa kwa upande wangu,ninaposikia wapo waliopeleka mgonjwa wao wa kifua kikuu,hospital ya binafsi,ni sawa?Na hospital hiyo hiyo ninavyoisikia na kujulikana ni hospital ya mambo ya uzazi ya mama na mtoto,ingawa unaweza pia kukuta wagonjwa ya homa.
Naomba wataalamu wa afya,watupe muongozo,wa kuweza kupeleka mgonjwa sehemu ya maradhi,ambayo inahusika na maradhi hayo,kama nimewahi kusikia yupo mtoto,aliyekatwa mkono,baada ya kuchelewshwa kupelekwa hospital husika ya mifupa,na kupelekwa zahanati,kwa kuvunjika mkono,na kusababisha kuoza kwa mkono.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom