Sasa wewe ni mara ya kwanza kuona changamoto za upumuaji!? Au ndio ulimbukeni.. tangu Corona Ije kila changamoto ya upumuaji ni Korona tu!?
Tuachane na mambo madogo madogo... Kwanini hivi virus vinakuja kwa matoleo!? Ukimwi tumekaa nao muda wote sijasikia ukimwi wa Nairobi, na Wa Dar ukitofautiana! Tena improvement ya kirusi hiki ni ya kasi mno.. as if Dunia inataka kututapika...
Huwa hujiulizi hilo swali!?
Ndiyo maana sisi Wakristo wa KWELI, hatuogopi "kifo". Tumefundishwa kuwa tunapaswa kuwa tayari wakati wote, maana hatujui siku wala saa.Kila mtu yumo kwenye hatari. Hili wimbi la tatu ni hatari zaidi kwa sababu ya uhaba wa vifaa na vyumba vya kutibu na kutenga wagonjwa,” asema daktari katika KNH.
Ndugu yangu I know you mean well... Ila tusaidiane kuulizana.. hauhisi kama hiki kirusi kinabehave abnormally!? Mmh!?Haya endeleeni kushupaza shingo ila ukipata fursa bofya hii link Jukwaa la Siasa
Ndugu yangu I know you mean well... Ila tusaidiane kuulizana.. hauhisi kama hiki kirusi kinabehave abnormally!? Mmh!?
You are absolutely right..Lini kimebehave normally, hiki kirusi ni kipya na ndio mara ya kwanza kuipiga dunia hivyo muhimu sana kuskliza ushauri wa wataalam, walikwenda kusomea haya mavitu, haipaswi kuwakaidi la sivyo itakua mwendo wa kupukutika na tanzia.
Kila mmoja wetu ana taaluma yake na hauwezi ukayafanya yote wewe, lazima ujifunze kumskliza huyo ambaye kasomea miaka sita kitu kingine hicho ambacho hauna elimu nacho. Sio ghafla uanze kunywa maji ya tangawizi eti umegundua dawa dhidi ya corona na kuwashangaa wataalam maprofesa wanaokufa eti kwanini wao hawakulijua hilo.
Ukiingia kwenye uwanja kisha ghafla uambiwe humo kumefukiwa mabomu ya kutegwa ardhini na una bahati hadi hapo haujakanyaga yoyote na kulipuka, kitu cha kwanza ni kutulia tuli, wasubiri wataalam waje, watakuelekeza hatua kwa hatua, watachimba chimba na kutia vifaa vyao na kuelekeza wapi ukanyage, yaani mpaka utatoka ukiwa mzima, ila ukijifanya wewe komando uchomoke ndukiiiii....ndio basi.
You are absolutely right..
Lakini its weird.. maana hiki.kirusi sio kipya... Ni kipya kwa context ya kumuathiri mwanadamu. Sasa kama kimekaa unaintertapted for ages ... Why now it's so busy changing and modifying itself to attack people and kill them!?
It's like the virus is not looking for co existence.. which is very abnormal. Forces of nature pushes all of us to find balance.. ila kwa Corona whenever we are about to find that balance shit starts all-over. And thats very unbecoming of Nature.
For any sane person will question this.. na sio ubishi.. this acts more like a weapon than a natural occuring disaster... And it's only logic to try and look for whoever is behind it... If its nature then we know our stay on earth has come to an end.
Huu mfano wa shambulio ni mfano mzuri sana. Maana tunaposhambuliwa cha kwanza ni kujiondoa katika hatari ya kupatwa na silaha za mshambuliaji. Lakini ni vizuri zaidi kujua mashambulizi yanatoka upande upi.Kama unaye rafiki mjeda, muulize namna wao huwa trained kwa ambush situations, mara nyingi kitu cha kwanza muhimu ni "staying alive", yaani lazima ujue namna ya kupanga maswali yako, haipaswi utafute majibu kwa kila swali wakati huo huo risasi zinarindima, a pro will duck first and find safety, then try to discern the direction of the attackers by listening to the sounds and movements before answering fire.
Thousands of questions will storm his head, but from past training he will only entertain a few most crucial ones and it's only after survival and rebuttal of the attackers will he begin analyzing and figuring who the hell were those, who sent them and from which nation and for what purpose and their rank and file and weaponry and arsenal power and whatnot.....
Virusi vipo vingi tu na historia ya dunia imeonyesha kunavyo ambavyo vimekua dormant and ghafla kumshambulia binadamu, sema hiki cha sasa kimezagaa kwa kasi maana utandawazi wa dunia umeifanya kuwa kama kijiji, muingiliano wa leo sio kama enzi zile, kuna kipindi Mzungu akiingia kijijini kwetu watu walikua wanamfuata kama kituko, ila leo tunapishana na wao wakiwa kwenye mambo yao huko.
Bado wimbi la 3 halijajaI'm really shocked Kama tayari tupo katika wimbi la tatu?? Jumla yapo mawimbi mangapi??
Hatarious 😴😴😴😴😴Bado wimbi la 3 halijaja
limetembea na viongozi chap...hilo lijalo sijui itakuwajeHatarious 😴😴😴😴😴
Huu mfano wa shambulio ni mfano mzuri sana. Maana tunaposhambuliwa cha kwanza ni kujiondoa katika hatari ya kupatwa na silaha za mshambuliaji. Lakini ni vizuri zaidi kujua mashambulizi yanatoka upande upi.
Kwa Sehemu kubwa tumejua, na tumejua yanaathiri nani na kwa kiasi gani. Changamoto ni kuwa kama its humanity under attack kwann we are not joining forces to fight the enemy kwanza ndio turudi kwenye biashara!?
The same pandemic inatumiwa na wachache kujitengenezea massive wealth, wakati kwa wengine inatumika to diminish even the little they have.. wakishapata haya maradhi wataweza kuafford tiba ambayo ni very expensive!?
Mimi ninaamini sana katika vitendo kuliko maneno. Ningependa kuona watu wanapigania maisha ya watu maana this world without people nothing is of any value.. Kama you are selling treatment ya Shida inayothreaten our existence tena kwa gharama kubwa.. inaleta wasiwasi..labda ni ugonjwa wa kuwaondoa masikini duniani!?
Either way.. huyo masikini ana kipi cha kupoteza akishakujua kuwa target ni yeye kufa.. maana hakuna anayempa chakula, ila anatakiwa akae ndani, hakuna anayempa fedha ila anatakiwa ajigharamie tiba akitokea kaugua... Looks like his fate is sealed... Just let him push and work to see another day.
Corona is a business as much as it is a disease and a weapon. And We've got to wait for "Time' to unveil what's going on behind the closed curtains...
Walipewa ripoti wameridhikanAnayejua mlinunua vifaa tiba nani? Maana hela za watu hamkutolea taarifa vifaa gani hivyo mlinunua, mlisema corona imeisha kwa maombi. Na mlipofuatwa sana kwa namna mlivyotumia hela mkaanza kubwabwaja jinsi mlipigana Kagera na Afrika.
Hamna ripoti yoyote kutokea kwenu zaidi ya kusema corona imefutwa kwa maombi, huku ikiwameza viongozi wenu kwa ujuha.Walipewa ripoti wameridhikan
Ripoti ya Kenya imenyesha ongezeko la mamilionea wa Covid 19 aid
Wamekaa kimya waliojipendekeza kutoa hela wakati walisikia tumesema hakuna Corona.wanjua tumetumiaje hela.si walitoa muda kwa muithinishaji fedha aeleze kwanini amejishusha kutupatia hela.na Sasa wanabembeleza kuleta chanjo za majaribio,tumewaambia tunasubili matokeo ya jirani zisipokuwa na madhara kwa Masai wa huko na Masai wetu watakuwa shwari na hata wameru, tuazipokea hizo AstraZeneca labda zipo kwa ajili ya waafrika maana wazungu wanazitilia shaka na kuacha kutumia mpaka wajiridhishe.Hamna ripoti yoyote kutokea kwenu zaidi ya kusema corona imefutwa kwa maombi, huku ikiwameza viongozi wenu kwa ujuha.
Wamekaa kimya waliojipendekeza kutoa hela wakati walisikia tumesema hakuna Corona.wanjua tumetumiaje hela.si walitoa muda kwa muithinishaji fedha aeleze kwanini amejishusha kutupatia hela.na Sasa wanabembeleza kuleta chanjo za majaribio,tumewaambia tunasubili matokeo ya jirani zisipokuwa na madhara kwa Masai wa huko na Masai wetu watakuwa shwari na hata wameru, tuazipokea hizo AstraZeneca labda zipo kwa ajili ya waafrika maana wazungu wanazitilia shaka na kuacha kutumia mpaka wajiridhishe.
Umemnyoosha huyo kenge
Watanzania tuache upumbavu, hivi tunatumia akili zetu kufanyia nini?
Kutafutia chakula tu basi 'tile, tinye, tilale'?
Umevimbiwa ubwabwa hapo na kubwatuka waache kuleta ARV..... hehehe umenichekesha sana wewe, mnasababisha Afrika tuonwe kituko aisei.
Siku mkiwa na kiwanda hata cha sindano ndio muanze jeuri ya kusema waache kuleta wanavyovileta.
Halafu wabongo kwa maigizo, mnazimia huku mking'ang'ania mifuko ya plastiki....jameni haya yote ili iweje.
tumia akili wewe nyumbu kilema.
huoni huo mkono umezuiwa na chuma ukatumika kuninginiza mfuko??
Hehehe!! Umeibuka pole nilipata wasiwasi kuona siku zinapita haujaja kurandaranda humu ukiwajibu Wakenya.....
Huyo hapo ni yale maigizo yenu, ni kama lile igizo fulani nakumbuka picha mlitupia mkulu akinunua hindi choma barabarani, muuzaji akiwa na bastola imechomoza kiunoni eti huyo ni mnyonge fulani anachoma mahindi barabarani hadi mkulu kamhurumia na kununua kutoka kwake.