Kama unaye rafiki mjeda, muulize namna wao huwa trained kwa ambush situations, mara nyingi kitu cha kwanza muhimu ni "staying alive", yaani lazima ujue namna ya kupanga maswali yako, haipaswi utafute majibu kwa kila swali wakati huo huo risasi zinarindima, a pro will duck first and find safety, then try to discern the direction of the attackers by listening to the sounds and movements before answering fire.
Thousands of questions will storm his head, but from past training he will only entertain a few most crucial ones and it's only after survival and rebuttal of the attackers will he begin analyzing and figuring who the hell were those, who sent them and from which nation and for what purpose and their rank and file and weaponry and arsenal power and whatnot.....
Virusi vipo vingi tu na historia ya dunia imeonyesha kunavyo ambavyo vimekua dormant and ghafla kumshambulia binadamu, sema hiki cha sasa kimezagaa kwa kasi maana utandawazi wa dunia umeifanya kuwa kama kijiji, muingiliano wa leo sio kama enzi zile, kuna kipindi Mzungu akiingia kijijini kwetu watu walikua wanamfuata kama kituko, ila leo tunapishana na wao wakiwa kwenye mambo yao huko.