Wataalamu wa Anatomy/Physiology saidieni hapa.

Wataalamu wa Anatomy/Physiology saidieni hapa.

Ninawashukuru nyote kwa mchango wenu.
Asanteni sana.
 
Ninajaribu

Dr. Nimekuja na maswali mengine.
1) Kuna wakati mtu anaweza akanywa kinywaji kama "red bull" bila alcohol, usiku kwa mfano.
Mara baada ya pengine kopo moja tu, mtu anapata kubanwa na haja ndogo na kujisaidia karibu usiku kucha mara kwa mara. Hii husababishwa na nini na maji yote hayo anayotoa huyo mtu yanatoka wapi?
2) Mtu anayetumia kilevi, e.g bia akinywa bia moja anaweza akapata shida ya kwenda haja ndogo mara nyingi sana wakati mtu huyo huyo akinywa bia nne au tano hapati shida ya kwenda haja ndogo mara kwa mara. Ni nini huleta hali hizo mbili tofauti?
cc: Jumong S
emt45
 
Kwamba unataka kujua Process nzima ya Inflammation... Hivyo hiyo sio Physiology ila ni Pathology....(Pathophysiology)
 
Back
Top Bottom