Wataalamu wa ardhi Kagera watoa elimu ya mfumo wa e-Ardhi kupitia redio

Wataalamu wa ardhi Kagera watoa elimu ya mfumo wa e-Ardhi kupitia redio

Wizara ya Ardhi

Govt Institution
Joined
May 14, 2024
Posts
306
Reaction score
165
59e70cba-d58c-43b3-a4a0-b93cda44287c.jpeg


Kamishna Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Kagera, Bi. Florida Busheni, akiwa ameambatana na wataalamu kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, mapema leo tarehe 18 Septemba 2026 ametoa elimu kwa wananchi kupitia Redio Vision iliyopo Bukoba, mkoani Kagera, kuhusu ujio wa mfumo mpya wa kidijitali wa e-Ardhi.

Soma Pia: Wataalamu wa ardhi waendelea kunolewa katika matumizi ya mfumo wa e-ARDHI.

Katika kipindi hicho, wataalamu hao wameeleza namna mfumo wa e-Ardhi utakavyorahisisha upatikanaji wa huduma za ardhi kwa wananchi, pamoja na kuwafikia wananchi kwa ufanisi zaidi kupitia matumizi ya teknolojia.
 
Nani anasikiliza redio siku hizi wewe admin?
 
View attachment 3673569

Kamishna Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Kagera, Bi. Florida Busheni, akiwa ameambatana na wataalamu kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, mapema leo tarehe 19 Septemba 2026 ametoa elimu kwa wananchi kupitia Redio Vision iliyopo Bukoba, mkoani Kagera, kuhusu ujio wa mfumo mpya wa kidijitali wa e-Ardhi.

Soma Pia: Wataalamu wa ardhi waendelea kunolewa katika matumizi ya mfumo wa e-ARDHI.

Katika kipindi hicho, wataalamu hao wameeleza namna mfumo wa e-Ardhi utakavyorahisisha upatikanaji wa huduma za ardhi kwa wananchi, pamoja na kuwafikia wananchi kwa ufanisi zaidi kupitia matumizi ya teknolojia.
Leo ni tarehe 18 sio 19
 
Back
Top Bottom