Wizara ya Ardhi
Govt Institution
- May 14, 2024
- 306
- 165
Wataalamu wa Ardhi kutoka Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Kagera pamoja na Halmashauri zake, wanaendelea na mafunzo ya kujengewa uwezo wa mfumo wa E-Ardhi ili kuongeza ufanisi katika kazi.
Mafunzo hayo yameanza rasmi Tarehe 14 Septemba, 2026 katika ukumbi wa ELCT uliopo Bukoba na yanatarajiwa kuchukua takribani wiki moja tayari wa wataalamu wa mkoa huo kuanza kutoa huduma kidijiti kwa wananchi wake.
"Ardhi ni Mtaji, Itunze Ikutunze"
"E Ardhi, Huduma Chap"
Soma Pia:

- e-Ardhi kurahisisha huduma za Ardhi Njombe
- Huduma za ardhi Kigoma kunufaika na teknolojia ya mfumo wa e-Ardhi