Wataalamu wa biashara njooni mutupe na sisi maujuzi ili tugawane umaskini

TURUFUDUME

Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
70
Reaction score
39
Wale wanaouza maduka kariakoo iv kweli wanapata faida au wanatutamanisha tu, iv kweli unamkuta mtu anaduka kariakoo analipa fremu zaid ya million kumi kwa mwaka mzigo wake kama ni nguo au vipodozi au vitu vya watoto wachanga mzigo wote ukiupigia hesabu haufiki million name nå unaweza kwenda zaid ya masaa matano hajapita ata yule mteja mmoja akaja akapumbaza tu c kununuwa .Lakin unakuta mfanya kazi tu waduks a hilo anakuja kazini na haria au Prado. Je kweli duka lile linauwezo wa kulipa kodi nå kumtunza mwenyewe au ndio FUNIKA KOMBE MWANA WA KHARAMU APITE?
 
Hoja yako njema, lakini misimu ya sikukuu wanazikamata sana. siku hzi mwenge palikuja kuwa kama kariakoo. nijuavyo mie jamaa wanakuwa na mitego zaidi ya mmj.

utakuta dukacla kariakoo linasubiri msimu wa sikukuu.
wkt flan nilinunua gauni kariakoo, bei sawa sawa na nilivonunua gauni mwenge
 
Hahahaha,mleta mada umenifurahisha sana.
Unajua biashara ndio maana tunasema haiigwi kwa kumuona mwenzio anafanya.Biashara yoyote ina siri nzito.
Lazima ufanye uchunguzi wa kina sana.Asikudanganye mtu kariakoo inafanyabiashara ile mbaya.

Unaweza kuona kweli mtu yupo dukani na wateja hakuna lakini mambo yake super.Ile ni biashara ya kisasa zaidi,wapo wenye maduka pale wana order za watu mikoani hadi nchi jirani.Sasa wale wakitoa order yeye anafanya kuwasafirishia na wengine kuwapa taarifa kwamba lini mzigo unashuka.
Na wenye tabia hiyo ni Wazambia,Wacomoro,Warundi,wanyarwanda,Wamalawi,Waganda nk.
Sasa hao ni wafanyabiashara wakubwa sana,anaweza kuchukua mzigo kwenye duka moja na akakaribia kuchukua robo ya duka zima.Ndio maana unaweza kumuona mtu hana wateja lakini faham kwamba Store kwake anamzigo wa maana na unasubiria watu.
Mie kaka yangu yupo Pale mtaa wa Raha naona anavyo deal na wazambia,ndio maana ninasema hii biashara ina siri kubwa sana na inataka uvumilivu sana.Ndio maana ukiwa mgeni na ukachukua frame kariakoo utapata tabu sana kwa kipindi kama cha miaka miwili hadi ukae sawa na wewe uanze kupata wateja wakubwa.
Ndio maana mtu haachii frame pale labla afe
 
Daaah na hii post yako nimecheka sana yan lkn ntapenda nijue una deal na nn now.....:what:
 
Wale wanaouza maduka kariakoo iv kweli wanapata faida au wanatutamanisha tu, iv kweli unamkuta mtu anaduka kariakoo analipa fremu zaid ya million kumi kwa mwaka mzigo wake kama ni nguo au vipodozi au vitu vya watoto wachanga mzigo wote ukiupigia hesabu haufiki million name nå unaweza kwenda zaid ya masaa matano hajapita ata yule mteja mmoja akaja akapumbaza tu c kununuwa .Lakin unakuta mfanya kazi tu waduks a hilo anakuja kazini na haria au Prado. Je kweli duka lile linauwezo wa kulipa kodi nå kumtunza mwenyewe au ndio FUNIKA KOMBE MWANA WA KHARAMU APITE?

Ndio unavojidanganya,rudi fanya utafiti upya inamaana muda unaopita wewe kama hakuna wateja kwenye duka ndio unaconclude biashara haifanyiki? Kariakoo inafanyika biashara kubwaaa sana, pia wafanyabiashara wengi wana store zao si lazima wajaze mzigo wote dukani na pia wanasupply mikoa yote na nchi jirani.
 
Wale wanaouza maduka kariakoo iv kweli wanapata faida au wanatutamanisha tu, iv kweli unamkuta mtu anaduka kariakoo analipa fremu zaid ya million kumi kwa mwaka mzigo wake kama ni nguo au vipodozi au vitu vya watoto wachanga mzigo wote ukiupigia hesabu haufiki million name nå unaweza kwenda zaid ya masaa matano hajapita ata yule mteja mmoja akaja akapumbaza tu c kununuwa .Lakin unakuta mfanya kazi tu waduks a hilo anakuja kazini na haria au Prado. Je kweli duka lile linauwezo wa kulipa kodi nå kumtunza mwenyewe au ndio FUNIKA KOMBE MWANA WA KHARAMU APITE?

Ni mtazamo wako
 
Hahahaha,mleta mada umenifurahisha sana.
Unajua biashara ndio maana tunasema haiigwi kwa kumuona mwenzio anafanya.Biashara yoyote ina siri nzito.
Lazima ufanye uchunguzi wa kina sana.Asikudanganye mtu kariakoo inafanyabiashara ile mbaya.

Unaweza kuona kweli mtu yupo dukani na wateja hakuna lakini mambo yake super.Ile ni biashara ya kisasa zaidi,wapo wenye maduka pale wana order za watu mikoani hadi nchi jirani.Sasa wale wakitoa order yeye anafanya kuwasafirishia na wengine kuwapa taarifa kwamba lini mzigo unashuka.
Na wenye tabia hiyo ni Wazambia,Wacomoro,Warundi,wanyarwanda,Wamalawi,Waganda nk.
Sasa hao ni wafanyabiashara wakubwa sana,anaweza kuchukua mzigo kwenye duka moja na akakaribia kuchukua robo ya duka zima.Ndio maana unaweza kumuona mtu hana wateja lakini faham kwamba Store kwake anamzigo wa maana na unasubiria watu.
Mie kaka yangu yupo Pale mtaa wa Raha naona anavyo deal na wazambia,ndio maana ninasema hii biashara ina siri kubwa sana na inataka uvumilivu sana.Ndio maana ukiwa mgeni na ukachukua frame kariakoo utapata tabu sana kwa kipindi kama cha miaka miwili hadi ukae sawa na wewe uanze kupata wateja wakubwa.
Ndio maana mtu haachii frame pale labla afe

Hili ndo jibu fasaha kwa aliyepost... alitakiwa ajibiwe iv na sivingnevyo@
 
Mkuu zanzibar spices post zako huwa zina akili sana ,nimejifunza kitu kupitia post zako ,huwa unaichambua mada na inaeleweka sana
 
Wale wanaouza maduka kariakoo iv kweli wanapata faida au wanatutamanisha tu, iv kweli unamkuta mtu anaduka kariakoo analipa fremu zaid ya million kumi kwa mwaka mzigo wake kama ni nguo au vipodozi au vitu vya watoto wachanga mzigo wote ukiupigia hesabu haufiki million name nå unaweza kwenda zaid ya masaa matano hajapita ata yule mteja mmoja akaja akapumbaza tu c kununuwa .Lakin unakuta mfanya kazi tu waduks a hilo anakuja kazini na haria au Prado. Je kweli duka lile linauwezo wa kulipa kodi nå kumtunza mwenyewe au ndio FUNIKA KOMBE MWANA WA KHARAMU APITE?

Tembea uwone na usome.

Kama hujawahi kufika China na Thailand, huko utakuta mtu ana duka kama uchochoro, kumbe ndio wenye manufacturer za nguo, na ukipita tu katika anga zao za biashara unaitwa na kuoneshwa biashara ya nguo design, tena kama anataka kuuzia unga, wakati mwengine huficha biashara yake mpya ili mwenzie wafanya biashara wasije iba design.

Hata hapo kariakoo, unaweza kuona duka dogo sana kama uchochoro kumbe ndiyo wasambaji wakubwa wa nguo na vitenge tanzania na nje ya Tanzania.
 
Kuna vitu ambavyo unatakiwa kujua.
1. Kariakoo ni kama shoo room tu. Mizigo ya ukweli iko kwenye magodown huko pugu road. Pale kariakoo ni ofisi na wana weka mzigo kidogo tu kwa watu kuona na wanunuzi wadogo wadogo.

2. Wateja wengi kutoka mikoani wanafunga mizigo mikubwa huko huko kwenye magodown. Mara nyingi mizigo haikai sana wanasukuma kwa kwenda mbele.

3. Wana netwoek kubwa. Huyu akimaliza mzigo anachukua kwa yule hivyo hivyo.

4. Trust me ukiingiza bidhaa yoyote kutoka china utauza tu.
 
Back
Top Bottom