TURUFUDUME
Member
- Dec 14, 2014
- 70
- 39
Wale wanaouza maduka kariakoo iv kweli wanapata faida au wanatutamanisha tu, iv kweli unamkuta mtu anaduka kariakoo analipa fremu zaid ya million kumi kwa mwaka mzigo wake kama ni nguo au vipodozi au vitu vya watoto wachanga mzigo wote ukiupigia hesabu haufiki million name nå unaweza kwenda zaid ya masaa matano hajapita ata yule mteja mmoja akaja akapumbaza tu c kununuwa .Lakin unakuta mfanya kazi tu waduks a hilo anakuja kazini na haria au Prado. Je kweli duka lile linauwezo wa kulipa kodi nå kumtunza mwenyewe au ndio FUNIKA KOMBE MWANA WA KHARAMU APITE?