okiwira JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 2,856 Reaction score 3,003 Dec 3, 2018 #1 Biashara ya vifaa vya Simu na biashara ya Nguo za kike na watoto ipi inalipa zaidi? Kwa maeneo ya mikoani kama Mbeya Tukuyu na Njombe Rudewa? Kwa mtaji wa tsh.laki tatu. kwa kuanzia.
Biashara ya vifaa vya Simu na biashara ya Nguo za kike na watoto ipi inalipa zaidi? Kwa maeneo ya mikoani kama Mbeya Tukuyu na Njombe Rudewa? Kwa mtaji wa tsh.laki tatu. kwa kuanzia.
okiwira JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 2,856 Reaction score 3,003 Jun 23, 2019 Thread starter #2 `
leroy JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 1,599 Reaction score 2,161 Jun 23, 2019 #3 Nguo za kike na watoto. Fanya biashara ya vitu ambavyo ni muhimu kwa binadamu (basic needs), hutajuta.
Nguo za kike na watoto. Fanya biashara ya vitu ambavyo ni muhimu kwa binadamu (basic needs), hutajuta.