Wataalamu wa biashara ya madini nishaurini hapa

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Jamani, nina mpango wa kufanya biashara ya madini, yaani nitanunua kutoka kwa wachimbaji wadogowadogo na kuyauza kwa wafanyabiashara wakubwa ili kupata faida zaidi.

Ila nahitaji mawazo na maoni yenu kwa kina katika maeneo yafuatayo:

1. Sehemu ya kununuliaa toka wachimbaji wadogo wadogo.

2. Bei ya kununulia madini na kuuzia kwa big dealers.

3. Jinsi ya kupima madini na kujua kama ni halisi au feki.

4. Uhifadhi na usafirishaji wake.

5. Namna ya kupata soko la uhakika la madini la nje na ndani.

Jamani nataka mawazo ya kina toka kwa wazoefu wa hii biashara.
 
jiandae kupigwa changa la macho sana hadi ukijakuzoea baada ya kuingizwa sana mjini
 
Nilifanya biashara hii miaka3,lkn sio biashara ya kukurupuka tu kama unavyotaka!,ni biashara nzuri sana ukiyajua madini hasa ukidili na cheap stone lkn yahitaji uzoefu sana tena sio kidogo la sivyo utakuja kujuta,Tafuta mtu mzoefu tena mwaminifu ujifunze kwake kama vile msaidizi wake kabla haujaanza kununua jifanye kama hauna kitu vile,kuwa tayari kupoteza muda ili ujifunze kwanza sababu biashara hii inahitaji umakini wa hali ya juu
 
Brother asante sana kwa response yako. Umesema kwamba ni bora kudeal na cheap stones. Swali langu ni cheap stones ni kama madini yapi? Tanzanite ni moja yapo? Na gold je, uliwahi kujihusisha na ununuaji na uuzaji wa gold?
 
Hehehehe haloooooooo
 
Cheap stone ni madini yanayouzwa kwa kg,kuhusu dhahabu sikushauri kwa kuwa ndio unaanza kule ndio kuna chuo cha wasanii,Good Luck
 
Madini gani hayo unayotaka, kama ni Almas karibu ntakupa maelekezo
 
Cheap stone ni madini yanayouzwa kwa kg,kuhusu dhahabu sikushauri kwa kuwa ndio unaanza kule ndio kuna chuo cha wasanii,Good Luck

Kila mtu hivo ndivyo anavyosema kuhusiana na biashara ya gold, inakuwaje inakuwa hivi? utapeli ni mwingi ama issue na gold ni ipi?
 
biashara nzuri sema inataka uwe na roho ngumu'mbay na mKatili haswa plus kauzu zaidi ya dagaa.moyo mgumu uwe popo .!yaaan ahhhh
 
Back
Top Bottom