lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Jamani, nina mpango wa kufanya biashara ya madini, yaani nitanunua kutoka kwa wachimbaji wadogowadogo na kuyauza kwa wafanyabiashara wakubwa ili kupata faida zaidi.
Ila nahitaji mawazo na maoni yenu kwa kina katika maeneo yafuatayo:
1. Sehemu ya kununuliaa toka wachimbaji wadogo wadogo.
2. Bei ya kununulia madini na kuuzia kwa big dealers.
3. Jinsi ya kupima madini na kujua kama ni halisi au feki.
4. Uhifadhi na usafirishaji wake.
5. Namna ya kupata soko la uhakika la madini la nje na ndani.
Jamani nataka mawazo ya kina toka kwa wazoefu wa hii biashara.