lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Nilifanya biashara hii miaka3,lkn sio biashara ya kukurupuka tu kama unavyotaka!,ni biashara nzuri sana ukiyajua madini hasa ukidili na cheap stone lkn yahitaji uzoefu sana tena sio kidogo la sivyo utakuja kujuta,Tafuta mtu mzoefu tena mwaminifu ujifunze kwake kama vile msaidizi wake kabla haujaanza kununua jifanye kama hauna kitu vile,kuwa tayari kupoteza muda ili ujifunze kwanza sababu biashara hii inahitaji umakini wa hali ya juu
Brother asante sana kwa response yako. Umesema kwamba ni bora kudeal na cheap stones. Swali langu ni cheap stones ni kama madini yapi? Tanzanite ni moja yapo? Na gold je, uliwahi kujihusisha na ununuaji na uuzaji wa gold?

Cheap stone ni madini yanayouzwa kwa kg,kuhusu dhahabu sikushauri kwa kuwa ndio unaanza kule ndio kuna chuo cha wasanii,Good Luck
Madini gani hayo unayotaka, kama ni Almas karibu ntakupa maelekezo
Hehehehe haloooooooo