Wataalamu Wa Body Mass Index (BMI) nisaidieni hapa

Mr Suprize

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
869
Reaction score
961
Nimepima uzito Wa mwili wangu Nina kg 66 kimo 178 umri 21 je body mass index yangu inaendana kiafya?
 
Duuu...... watu wanapenda kutafuniwa mpaka iwe rojorojo
 
Nimepima uzito Wa mwili wangu Nina kg 66 kimo 178 umri 21 je body mass index yangu inaendana kiafya?

BMI=Body Mass Index
BMI=Body Weight (Kg)/Height squared (M2)
= 66/3.17
BMI = 20.8Kg per metre squared.

Baada ya kupata hiyo BMI nenda kwenye chart kutambua kama una mwili

1. wenye uzito wa kawaida (normal - 18.5-24.9),
2. umeanza kubeba nyama (Overweight - 25-29.9) au,
3. tayari unabeba nyama (Obese - above 30).

Kila la heri ila tukumbuke mazoezi na chakula bora ni muhimu!
 
Nimepima uzito Wa mwili wangu Nina kg 66 kimo 178 umri 21 je body mass index yangu inaendana kiafya?

Una BMI 20.8

BMI Categories:
Underweight = <18.5
Normal weight = 18.5–24.9
Overweight = 25–29.9
Obesity = BMI of 30 or greater

Uko normal mkuu, hata usiwaze
 
Asannte mkuu kwa formula
 
BMI=66kg/(1.78x1.78)=20;uzito upo okay kwa sababu jibu halitakiwi li zidi 25.
 
Duuu...... watu wanapenda kutafuniwa mpaka iwe rojorojo
mkuu kila kitu kina wataalamu wake sio wote tunajua , hatuwezi kusomea taaluma zote zilizopo duniani , kwa mfano hakimu anaweza kuwa mjinga kwa doctor , naye doctor anakuwa mjinga kwa hakimu,, so lazima ukubari kila mwanadamu ni mjinga kwa mwenzake.. kwako unaweza kuona ni kitu kidogo sana lakn kwa mwenzako kinamtia ushamba mpaka bas, haipaswi kumcheka bali ni kumsaidia
 
asante mkuu tunashukuru kwa hii formula nafikiri itawasaidia wengi na kuepusha kuanzishwa kwa nyuzi zingine kuhusu BMI
 
Una BMI 20.8

BMI Categories:
Underweight = <18.5
Normal weight = 18.5–24.9
Overweight = 25–29.9
Obesity = BMI of 30 or greater

Uko normal mkuu, hata usiwaze
Mungu akubariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…