Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 869
- 961
Nimepima uzito Wa mwili wangu Nina kg 66 kimo 178 umri 21 je body mass index yangu inaendana kiafya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepima uzito Wa mwili wangu Nina kg 66 kimo 178 umri 21 je body mass index yangu inaendana kiafya?
Nimepima uzito Wa mwili wangu Nina kg 66 kimo 178 umri 21 je body mass index yangu inaendana kiafya?
Asannte mkuu kwa formulaBMI=Body Mass Index
BMI=Body Weight (Kg)/Height squared (M2)
= 66/3.17
BMI = 20.8Kg per metre squared.
Baada ya kupata hiyo BMI nenda kwenye chart kutambua kama una mwili
1. wenye uzito wa kawaida (normal - 18.5-24.9),
2. umeanza kubeba nyama (Overweight - 25-29.9) au,
3. tayari unabeba nyama (Obese - above 30).
Kila la heri ila tukumbuke mazoezi na chakula bora ni muhimu!
asanteIko okay
asanteIko okay
kivipi mkuu?Majivuno hayo
cm178 Ni nini cm au m?
mkuu kila kitu kina wataalamu wake sio wote tunajua , hatuwezi kusomea taaluma zote zilizopo duniani , kwa mfano hakimu anaweza kuwa mjinga kwa doctor , naye doctor anakuwa mjinga kwa hakimu,, so lazima ukubari kila mwanadamu ni mjinga kwa mwenzake.. kwako unaweza kuona ni kitu kidogo sana lakn kwa mwenzako kinamtia ushamba mpaka bas, haipaswi kumcheka bali ni kumsaidiaDuuu...... watu wanapenda kutafuniwa mpaka iwe rojorojo
asante mkuu tunashukuru kwa hii formula nafikiri itawasaidia wengi na kuepusha kuanzishwa kwa nyuzi zingine kuhusu BMIBMI=Body Mass Index
BMI=Body Weight (Kg)/Height squared (M2)
= 66/3.17
BMI = 20.8Kg per metre squared.
Baada ya kupata hiyo BMI nenda kwenye chart kutambua kama una mwili
1. wenye uzito wa kawaida (normal - 18.5-24.9),
2. umeanza kubeba nyama (Overweight - 25-29.9) au,
3. tayari unabeba nyama (Obese - above 30).
Kila la heri ila tukumbuke mazoezi na chakula bora ni muhimu!
Mungu akubarikiUna BMI 20.8
BMI Categories:
Underweight = <18.5
Normal weight = 18.5–24.9
Overweight = 25–29.9
Obesity = BMI of 30 or greater
Uko normal mkuu, hata usiwaze
asante kwa tafsiri nzuriBMI=66kg/(1.78x1.78)=20;uzito upo okay kwa sababu jibu halitakiwi li zidi 25.