Ofisini yenu in IT officer?Wakuu poleni na hongereni Kwa majukumu!
Naomba msaada wenu hatua kwa hatua jinsi ya kuapprove request ya uhamisho kwenye mfumo wa ESS kwa supervisor.
Mimi ni supervisor lakini nashindwa kupitisha ombi la mfanyakazi wangu hapa ofisini hivyo naomba mnisaidie kutumbua hili jipu kwa kunipa huo msaada.
Natanguliza shukrani..
© Copyright
Unakwama wapi?Wakuu poleni na hongereni Kwa majukumu!
Naomba msaada wenu hatua kwa hatua jinsi ya kuapprove request ya uhamisho kwenye mfumo wa ESS kwa supervisor.
Mimi ni supervisor lakini nashindwa kupitisha ombi la mfanyakazi wangu hapa ofisini hivyo naomba mnisaidie kutumbua hili jipu kwa kunipa huo msaada.
Natanguliza shukrani..
© Copyright
Mfumo WA ESS bado haujakaa vizuri, kama unaweza ku approve manually fanya hivyo. Nakwambia hivi kwasababu upande wa E-Loan nao Una tatizo na nikaapply mkopo bank direct na utumishi wakaupitisha so are you.Wakuu poleni na hongereni Kwa majukumu!
Naomba msaada wenu hatua kwa hatua jinsi ya kuapprove request ya uhamisho kwenye mfumo wa ESS kwa supervisor.
Mimi ni supervisor lakini nashindwa kupitisha ombi la mfanyakazi wangu hapa ofisini hivyo naomba mnisaidie kutumbua hili jipu kwa kunipa huo msaada.
Natanguliza shukrani..
© Copyright
Mfumo uko poa Tu.Mfumo WA ESS bado haujakaa vizuri, kama unaweza ku approve manually fanya hivyo. Nakwambia hivi kwasababu upande wa E-Loan nao Una tatizo na nikaapply mkopo bank direct na utumishi wakaupitisha so are you.