007 De Souza
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 901
- 483
nenda kwa mtegetwa,mcmbaz kasome tuit
Picha tafadhali
tushamaliza chuo ila baba unafikiri tunakumbuka vitu tunaegesha tumepata divisipn one lakini ako kaswali kwa sasa sikasogezi ila kipindi icho yalikuwa simple tu labda nkasome teana
haina picha hiyo kiongozi ni hvyo tu
Nenda mchikichini.
ha? kumbe kuna HOME OF GREAT THINKER inaitwa mchikichini
mnazingua, j.f wengi ni watu wazima, wengine wapo chuo apa ni habari na ushauri.....ujaona sehemu zingine za kusaidiwa?? wanafunzi wenzako ata walimu??? nikushauri tu achana na eti mtu akiwa chuo ukimpa kila swali atalifanya, ayo mawazo potofu kadiri unavosonga mbele mambo mengi mapya na unasahau yaliyopita, akili zako zilikua kama zetu miaka ya nyuma ukimpa swali mtu wa chuo akishindwa basi unajiona mtata kumbe boya tu....badilika
Jshaue tu..we pa dharau mchiki down
sijapadharau ila apa jf si wapo walosoma uko ka wewe ndo ungetusaidia majibu bwana mkubwa!
Habari za miangaiko wakuu?
kwa wale wataalamu wa geography kuna swali la photograph linazingua hapa naombeni msaada wenu!
U.S.A Millitary aircraft with altitude height of 900m,ground height of 700m,while the radius of common is 2cm.Calculate;
(i) The Scale of the photograph.
(ii) Vertical height of the camera.
(iii) Focal Length of the camera.
Kwanza m sio bwana. M mdada na mtoto kama wewe. Then ukipewa eneo sio lazma upewe na utakacho kwan nlvoenda kusoma huko nlsoma geography? ? Na kama nlsoma geography unajuaje kama nlsoma hyo topic??? Kwanza swal lenyeww haltok hilo
ngoja nikujib japo swal la photo nilikuwa clipend!!!!
kwaajil ya hzo calcltn nikaw napendelea research o survey