Wataalamu wa Geography, Msaada tafadhali

007 De Souza

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
901
Reaction score
483
Habari za miangaiko wakuu?
kwa wale wataalamu wa geography kuna swali la photograph linazingua hapa naombeni msaada wenu!

U.S.A Millitary aircraft with altitude height of 900m,ground height of 700m,while the radius of common is 2cm.Calculate;
(i) The Scale of the photograph.
(ii) Vertical height of the camera.
(iii) Focal Length of the camera.
 
tushamaliza chuo ila baba unafikiri tunakumbuka vitu tunaegesha tumepata divisipn one lakini ako kaswali kwa sasa sikasogezi ila kipindi icho yalikuwa simple tu labda nkasome teana
 
sawasawa mkuu so asaivi ata idea hakuna tena?
 
mnazingua, j.f wengi ni watu wazima, wengine wapo chuo apa ni habari na ushauri.....ujaona sehemu zingine za kusaidiwa?? wanafunzi wenzako ata walimu??? nikushauri tu achana na eti mtu akiwa chuo ukimpa kila swali atalifanya, ayo mawazo potofu kadiri unavosonga mbele mambo mengi mapya na unasahau yaliyopita, akili zako zilikua kama zetu miaka ya nyuma ukimpa swali mtu wa chuo akishindwa basi unajiona mtata kumbe boya tu....badilika
 
kwa hiyo apo ndo umeshajibu swali? lengo la kuuliza ni kutaka kujua na sio ka ulivyokuwaga wewe eti ujione mtata! kama ungeona ujapenda swali ama ulijui ungepita tu mkuu acha wanaojua wajibu ndo mana ikaandikwa kwa 'wataalamu wa geography' kwa ushauri tu na wewe ka umeona ujavutiwa na kitu achana nacho!..... badilika
 
sijapadharau ila apa jf si wapo walosoma uko ka wewe ndo ungetusaidia majibu bwana mkubwa!

Kwanza m sio bwana. M mdada na mtoto kama wewe. Then ukipewa eneo sio lazma upewe na utakacho kwan nlvoenda kusoma huko nlsoma geography? ? Na kama nlsoma geography unajuaje kama nlsoma hyo topic??? Kwanza swal lenyeww haltok hilo
 
Habari za miangaiko wakuu?
kwa wale wataalamu wa geography kuna swali la photograph linazingua hapa naombeni msaada wenu!

U.S.A Millitary aircraft with altitude height of 900m,ground height of 700m,while the radius of common is 2cm.Calculate;
(i) The Scale of the photograph.
(ii) Vertical height of the camera.
(iii) Focal Length of the camera.

ngoja nikujib japo swal la photo nilikuwa clipend!!!!
kwaajil ya hzo calcltn nikaw napendelea research o survey
 
Kwanza m sio bwana. M mdada na mtoto kama wewe. Then ukipewa eneo sio lazma upewe na utakacho kwan nlvoenda kusoma huko nlsoma geography? ? Na kama nlsoma geography unajuaje kama nlsoma hyo topic??? Kwanza swal lenyeww haltok hilo

ahahaha. sasa umejuaje ka halitoki au linatoka? by the way sor kwa kukuita bwana!
 
Vertical height=H-h. F=2mm. Then scale =f(mm) over Vertical height
 
Back
Top Bottom