Wataalamu wa graphcs design, tunadesign logo, posters stickers na vipeperushi kwa bei sawa na bure

cantona55

Member
Joined
Apr 4, 2020
Posts
24
Reaction score
26
habari zenu wakuu,

kwa wale wote wanaotaka LOGO kwa ajili ya makampuni, NGO's na mashirika mbal mbali, ukitaka LOGO ya 3D au 2D zote tunadesign kwa 50,000 tu unapata brand logo yako nzuri na yakuvutia...

pia ukiitaji POSTERS zenye kuvutia wasomaji tunadesign kwa 20,000 tu...na pia ukiitaji tukuprintie kabisa tuna print kwa na 1000 tu kwa kila karatasi ya A4

na kama una bidhaa na unaitaji STICKER za kubandika kwenye bidhaa yako pia tunadesign kwa 20,000 tu, STICKER zetu zinaVutia na kufanya wateja kuzidi kupenda bidhaa yako..na pia ukiitaji tukuprintie kabisa itategemea na ukubwa wa STICKER yako kuna ya tsh 100, 200, na 500.

kwa mawasiliano zaidi 0692477610
 
Natafuta kazi kwenye kampuni yoyote wanao hitaji
graphics designer= na uwezo wa kufanya LOGO DESIGN, STICKER DESIGN, POSTERS DESIGN, PHOTO EDITING...

video director= PIA NA FANYA VIDEO DIRECTING za documentary, filamu, na music videos.

camera man=pia nauwezo wa kushoot videos na na zijua camera nyingi na kuzitumia pia..
video editor=pia na edit videos vzur kabisa na kuwa na muonekano mzur

photographer= pia na piga picha kwa ustadi wa hali ya juu sana...
nina uzoefu wa hizi kazi kwa mda mrefu,

mawasiliano 0692477610
 
Kama bado hujapata kazi karibu PM mkuu
 
LOGO DESIGN & POSTERS
Je unahitaji logo(nembo) kwa ajili ya kampuni au bidhaa zako.. CVP production.. Ni wataalam wa graphics designer.. tunadesign logo za 2d na 3d..
Pia kama unaitaji POSTERS pia tunadesign.

Karibini Sana.View attachment 1543755
 
Tutakucheki mkuu..baada ya watani zetu kubadili logo nasisi tunataka tuwajibu
 
kwa wale wote wanaotaka LOGO kwa ajili ya makampuni, NGO's na mashirika mbal mbali, ukitaka LOGO ya 3D au 2D zote tunadesign kwa 30,000 tu unapata brand logo yako nzuri na yakuvutia...

pia ukiitaji POSTERS zenye kuvutia wasomaji tunadesign kwa 20,000 tu...na pia ukiitaji tukuprintie kabisa tuna print kwa na 1000 tu kwa kila karatasi ya A4

na kama una bidhaa na unaitaji STICKER za kubandika kwenye bidhaa yako pia tunadesign kwa 20,000 tu, STICKER zetu zinaVutia na kufanya wateja kuzidi kupenda bidhaa yako..na pia ukiitaji tukuprintie kabisa itategemea na ukubwa wa STICKER yako kuna ya tsh 100, 200, na 500.

kwa mawasiliano zaidi 0692477610
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…