WATAALAMU WA HAYA MAMBO WATUSAIDIE,JE INAWEZAKANA ?...

atlas copco

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
8,497
Reaction score
9,728
Wanandoa wawili nchini China walienda kwa doctor kupata ushauri baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 4 bila kupata mtoto

Daktari baada ya uchunguzi aligundua kuwa wamekuwa wakifanya tendo la ndoa kinyume na maumbile bila wao wenyewe kujua

Mwanamke alikuwa bikra huku njia yake ya haja kubwa ikiwa imetumika kwa muda mrefu kupitisha uume

Wanandoa hao walikiri kuwa mwanamke amekuwa akipata maumivu makali mara zote wanapokuwa wanafanya tendo la ndoa.

Source;theSun,Metro&AsiaOne
IMG-20190107-WA0047.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila huyo mwanamke nae dah..lakini jamaa nae Ina maana alikua hata hagusi au hapati hisia Kama nanga imezama topeni? Na walikua wakitumia style gani? Anyway maswali ni mengi lakini huyo mke Nina mashaka nae..
 
Inawezekana jamaa alikuwa hajui tofauti ya papuchi na tigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haiezekani..
Watoto mwenyewe wakifanya tabia mbaya huwa hawakosei
Hao wanandoa kabisaaa watu wazima wameshindwaje kujua iyo cyo Papuchi
Au wanafanyiaga ndani ya shuka?
Au Sehemu za siri za Hugo Dada ziko vise vesa?
 
Ila huyo mwanamke nae dah..lakini jamaa nae Ina maana alikua hata hagusi au hapati hisia Kama nanga imezama topeni? Na walikua wakitumia style gani? Anyway maswali ni mengi lakini huyo mke Nina mashaka nae..
Pengine alikuwa hajui inaingizwa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Daktari anatumiwa na mabeberu.
Mbona kaingiza uwani ambako ni jirani kabisa na asiingize mdomoni au puani?
Ni ngumu kumeza

Sent using Jamii Forums mobile app
Haiezekani..
Watoto mwenyewe wakifanya tabia mbaya huwa hawakosei
Hao wanandoa kabisaaa watu wazima wameshindwaje kujua iyo cyo Papuchi
Au wanafanyiaga ndani ya shuka?
Au Sehemu za siri za Hugo Dada ziko vise vesa?
Uzi unasema wataalam wa haya mambo.

Bila shaka nyie ndiyo watalaam wetu.

Sasa ndugu wataalm nina tuswali tuchache kwenu.

1. Mnaonaje haya mambo kwa miaka 10 ijayo? Maoni yenu kama watalaam.

2. Mnawashauri nini vijana wanaochipukia kwenye haya mambo?
 
1.Miaka kumi ijayo mambo za UmberRuthy zitakuwa zimeshika hatam na pengine kuwa mambo ya kawaida tu

2.Hivo nawashauri vijana wakati wanaanzisha mahusiano ni vyema kwenda kwa wahudumu wa Afya kupima afya zao ,pamoja na kushauriwa njia wanayoweza kutumia katika kujamiiana.

Nadhani umenielewa mdogo angu Daby😂
 
Uzi unasema wataalam wa haya mambo.

Bila shaka nyie ndiyo watalaam wetu.

Sasa ndugu wataalm nina tuswali tuchache kwenu.

1. Mnaonaje haya mambo kwa miaka 10 ijayo? Maoni yenu kama watalaam.

2. Mnawashauri nini vijana wanaochipukia kwenye haya mambo?
Sio miaka kumi tayari tupo kwenye zahma Kaka..
 
Uzi unasema wataalam wa haya mambo.

Bila shaka nyie ndiyo watalaam wetu.

Sasa ndugu wataalm nina tuswali tuchache kwenu.

1. Mnaonaje haya mambo kwa miaka 10 ijayo? Maoni yenu kama watalaam.

2. Mnawashauri nini vijana wanaochipukia kwenye haya mambo?
Watafute hela waache ujinga.
 
Uzi unasema wataalam wa haya mambo.

Bila shaka nyie ndiyo watalaam wetu.

Sasa ndugu wataalm nina tuswali tuchache kwenu.

1. Mnaonaje haya mambo kwa miaka 10 ijayo? Maoni yenu kama watalaam.

2. Mnawashauri nini vijana wanaochipukia kwenye haya mambo?
Hata ww ni mtaalamu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom