atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Wanandoa wawili nchini China walienda kwa doctor kupata ushauri baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 4 bila kupata mtoto
Daktari baada ya uchunguzi aligundua kuwa wamekuwa wakifanya tendo la ndoa kinyume na maumbile bila wao wenyewe kujua
Mwanamke alikuwa bikra huku njia yake ya haja kubwa ikiwa imetumika kwa muda mrefu kupitisha uume
Wanandoa hao walikiri kuwa mwanamke amekuwa akipata maumivu makali mara zote wanapokuwa wanafanya tendo la ndoa.
Source;theSun,Metro&AsiaOne
Sent using Jamii Forums mobile app