Maji yanatoka wapi sasa Njau?
Mambo mengine google ndugu, utapata jibu la uhakika zaidi. What Causes Water Dripping From a Muffler? | eHow
Maji yanatoka wapi sasa Njau?
When internal combustion enginesrun, the air and fuel combustion that takes place inside the cylinders releases moisture from the air, which generally gets sent out the exhaust system as water vapor or steam. If the engine and exhaust system are cold, moisture can condense from the steam to form a liquid that may drip out of the tailpipe.Have a question? Get an answer from a Mechanic now!
Read more: What Causes Water Dripping From a Muffler? | eHow
Asante Candid Scope. Nimesoma hiyo link na nimepata kitu hapo.Umefanya vema kuulizia maana ndio njia sahihi kuliko wanaokubeza hapa. Mafundi watakuambia ukiona hilo ujue mfumo wa injini yako ni safi sana, jivunie una gari zuri. Hii kwa kawaida hutokea asubuhi unapowasha kwa vile mvuke wa majimaji huwa umeganda, na unapowasha mvuke huo ndani ya mfumo wa cylinder na exhaust huyehuka na majimaji hayo kutokea kwa njia hiyo.
Soma hapo chini upata moja ya kitaalamu toka kwa mainjinia.
Hilo bonge la gari bro hasa kipindi hiki cha shida ya maji unafaidije.....Mwezi wa sita mwaka huu nilinunua gari aina ya Toyota Noah. Tangu wakati huo mpaka sasa haijaniletea tatizo lolote. Hivi juzi asubuhi niliiwasha nikaiacha kwenye silence kisha nikaingia ndani mwangu kuchukua kitu nilichosahau. Niliporudi kwenye gari ndo nikaona kitu kilichonishangaza. Nilipotupia jicho kwenye exhaust pipe niliona vitone vya maji vikitiririka. Je, hiyo ni nini? Vitone vya maji kwenye exhaust vinatoka wapi? Au ndo mfumo wa maji kwenye radiator umeshavurugika na kuingia kwenye engine? Naomba mdau mtaalamu anieleweshe.
Mwezi wa sita mwaka huu nilinunua gari aina ya Toyota Noah. Tangu wakati huo mpaka sasa haijaniletea tatizo lolote.
Hivi juzi asubuhi niliiwasha nikaiacha kwenye silence kisha nikaingia ndani mwangu kuchukua kitu nilichosahau. Niliporudi kwenye gari ndo nikaona kitu kilichonishangaza. Nilipotupia jicho kwenye exhaust pipe niliona vitone vya maji vikitiririka.
Je, hiyo ni nini? Vitone vya maji kwenye exhaust vinatoka wapi? Au ndo mfumo wa maji kwenye radiator umeshavurugika na kuingia kwenye engine?
Naomba mdau mtaalamu anieleweshe.
system ipo hivi, mafuta ni hydrocarbon, na chemical formula ni CH4,sasa kinacho fanyika ni ku convert chemical energy to heat energy, ni ili kupata heat energy vina hitajika vitu vitatu, oxygen, souce of heat na fuel, CH4+O2+heat product ni Co2+H20 ikiwa complete combustion, H2O ni maji, ndio hayo tuna yaona kwenye exhoust pipe, hii ni ishara kwamba air/fuel mixture ratio ipo proper kwenye engine ya gari yako, (stoichiometry) kama kama mixture ya fuel na oxygen sio proper, yaani either una rich au weak mixture complete combustion haito tokea,na engine yako itakua na tatizo, kwako wewe engine ya gari yako ipo vizuri