Wataalamu wa injini za magari naomba mnieleze hili jambo

Wataalamu wa injini za magari naomba mnieleze hili jambo

Kifupi hamna tatizo hapo injini ikiwa mpya nikawaida kudondosha matone ya maji na hutokea pindi gari inapokua silence kuanzia dk2 hadi5 Mara baada ya kuwashwa ikiwa ilikuwaimezimwa kwa masaa 5 hadi 10
 
Watu mko nondo sana hapa. Sasa kwa mfano gari yangu inatoa moshi kwenye exhaust pipe inamaanisha kuwa either plugs kimeo au engine ndo ishaanza ku goodbye. Swali, nafanyaje sasa kurudisha ubora ule wa kutoa maki kwenye exhaust pipe badala ya moshi?
 
Back
Top Bottom