long live my love
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,064
- 1,012
Wakuu Poleni na mfungo wa maombi ya kitaifa. Leo siku ya pili,na mimi sijawaangusha mana naomba haswaa. Tanzania bila corona inawezekana.
Nije kwenye mada: Nimebangaiza vijisenti kwa muda nikaona bora na mimi nijitutumue ninunue japo iphone 7 walau kubadili radha ya hizi tecno za siku zote. Sasa hapa naomba ushauri wenu wazoefu kama niagize mtandaoni au niende kariakoo?
Nimejaribu kucheki beforward nimeziona sasa sijui ubora wake ukifananisha na zile za kariakoo.
Thanks in advance.