Kkoo pale tegemea kupata simu used lakini wao watakwambia ni mpya yaan full box, kwa ufupi pale kkoo sijawahi ona duka linauza iphone mpya , ungekuwa na Uwezo wa kwenda I store yoyote unapata Cm new kabisa.
Hizi refurb zina majanga mengi sana na siku hizi wanajua mambo ya battery health basi wanaweka battery mpya za kichina (battery hazizidi elf 15, bei halisi) kwa hiyo ndani itaonesha 100%. Earphones za kichina yan zile earphone za fullbox ni mbaya kuliko hata hizi za OFIA au Phillips tunazonunua mtaani kwa elf 10, na watu wengi hawajashtuka. Kale ka hii ni Apple original kamewakaa kichwani kiasi kwamba wanaona ziko sawa.
Kama iPhone mpya huiwezi basi angalia used from Europe au USA. Zile ziko vizuri kila kifaa I original ingawa used, much better ukute iPhone original Ina 85% battery kuliko new/refurb yenye 100%. (Hapa am very serious kwa sababu ukiangalia Amazon au eBay iPhone 7 used Ina bei kubwa au sawa na new iPhone ya kkoo )
Juzi kati nimemchukulia Mtu hiyo full box, wao wanaita new na iko kwenye box kabisa , simu ni 6s lakini nilipoiwasha tu nakutana na iOS 13 [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2], nikajiuliza hii simu imeji update humu humu kwenye box ama ? Na battery ni 100%. Kwa mategemeo yangu iPhone 6s nilitegemea Kama ni mpya basi iwe na iOS ya nyuma Yan 9 au basi hata 11 kwa kuzingatia kwamba toka izalishwe ilikuwa haijauzwa yaan ipo kwenye stores, kwa sababu hii simu haizalishwi tena. lakini kitendo cha kuikuta na iOS 13 ilikuwa clear kwamba imetumika tena sana ila ikarudufiwa.
Sent from my iPhone using JamiiForums