long live my love
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,064
- 1,012
Daaaa. Hapo mtihani,kwani zile za mitandaoni zina shida gani?Usiagize online mkuu, na kama unaenda Kkoo basi hakikisha una mtu unaefahamiana nae wa kukuuzia au kama unaeza tambua fake or OG hapo freshi
Una sh ngapi ?Daaaa. Hapo mtihani,kwani zile za mitandaoni zina shida gani?
Nashukuru mwambaMambo yakuzingatia
1:Hakikisha battery [emoji367] health ni [emoji817]
2:Ni lazima finger print iwe inafanya kazi
3:Hakikisha iOS iwe tayari update for new version
4:Hakikisha home batton inafanya kazi vizuri
5:Hakikisha unaangalia hiyo iPhone imetengenezwa maalumu kwa Internacional ama kwa watumiaji wa China [emoji630] ikiwa ni canada [emoji1063],Uk,USA ni sawa lkn China [emoji630] majanga
Ukizingatia hayo utakuwa umepata simu ya uhakika
N:B usipoelewa hapa usinifuate PM ,PM yangu nimeweka Barokoa
Sent using IPhone X

Nashukuru mwamba
Miezi 8 betry percentage iwe 100% acha utapeli wa mitandaoni hivi hujaachaga utapeli??Nina iphine 7 plus 128 GB...
Ina sifa zote jamaa alizoeleza hapo.
Ina miezi 8 tangu ninunue ikiwa mpya.
Wewe unafika ngapi nikuachiee???
Unakuja kukagua na wataalam wote wa iphone kuiangalia kama iko poa
Alikuwepo haitumii kaiweka ndani tu .Miezi 8 betry percentage iwe 100% acha utapeli wa mitandaoni hivi hujaachaga utapeli??
Mwambie alete screen shot za hiyo betry life percentageAlikuwepo haitumii kaiweka ndani tu .
ivi CCM mbona mnataka kutuharibia nchi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhh! Wenda ila sidhaniMiezi 8 betry percentage iwe 100% acha utapeli wa mitandaoni hivi hujaachaga utapeli??
CCM kila kitu mnajua mnatuharibia nchiMwambie alete screen shot za hiyo betry life percentage
Miezi 8 betry percentage iwe 100% acha utapeli wa mitandaoni hivi hujaachaga utapeli??
Alikuwepo haitumii kaiweka ndani tu .
ivi CCM mbona mnataka kutuharibia nchi?
Sent using Jamii Forums mobile app