Wataalamu wa IT, nini kinachowazuia kuanzisha freelancing website's

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,001
Reaction score
1,430
Experts wa IT, mthubutu kuanzisha freelancing websites hapa bongo ili tutengeneze character ya kufanya kazi na kulipwa kwa masaa kazi inapokamilika.

Kuna watu wana kazi ndogondogo na nyingine zinahitaji special skills ambazo kwenye ofisi yake labda hana expert wa kukamilisha hiyo task.
Kuondoa usumbufu wa kuajiri on temporary basis, au kutumia resources nyingi kutafuta expert wa kukamilisha kazi fulani. Mfano, mtu anahitaji kufanyiwa data analysis nk

16 Best Freelance Websites to Find Work
  • Upwork.
  • Toptal.
  • Jooble.
  • Freelancer.com.
  • Fiverr.
  • Flexjobs.
  • SimplyHired.
  • Guru.
  • cont.......
 
Ni wazo zuri sana kama litafanyiwa kazi maana wengi hapa nchini wanatumia mitandao ya nje kwa ishu za freelancing.

Ukianzishwa hapahapa nchini itakuwa ni suluhisho zuri sana kwa wafanyabiashara na IT Professionals.
 
Changamoto kubwa ni "Trust" bado tuna kazi ya kufanya ili ifike mahali tuaminiane kupeana kazi na kulipana kwa njia ya mtandaoni pasipo kufahamiana.

Wabongo hatuaminiani, na hatuaminiki.

Imagine unampa kazi mtu physically, na wewe ukiwa unasimamia, still anaifanya kiujanja ujanja, what if hakujui na hamuonani [emoji848].
 
Zipo lakini wabongo wenye kazi hawaweki kazi zao mwisho hata mafreelancer wenyewe wanaamua kuachana nazo
 
Changamoto kubwa ni "Trust" bado tuna kazi ya kufanya ili ifike mahali tuaminiane kupeana kazi na kulipana kwa njia ya mtandaoni pasipo kufahamiana.

Wabongo hatuaminiani, na hatuaminiki.

Imagine unampa kazi mtu physically, na wewe ukiwa unasimamia, still anaifanya kiujanja ujanja, what if hakujui na hamuonani [emoji848].
Hiyo ela uwa haiendi kwa mhusika inabaki kwenye platform mpaka malize kazi na aisubmit na mhusika anakuwa na kama siku saba ya kuizuia isiende kwa freelancer akikaa kimya siku saba inaenda kwa mhusika au akiamua anaweza verify kuwa kazi imefanyika ikamfikia mhusika mapema
 
Mkuu ni wazo zuri ila lazima tulijenge katika utamaduni Je uko interested kuwekeza katika eneo hilo?Kama uko interested tunaweza jadili Pa Kuanzia.Kwa sasa bado ni concept na inawezekana cha muhimu ni kuiweka katika tamaduni zetu kwanza
 
Hilo nalijua, lakini still issue ya trust iko pale pale. Migogoro itakuwa mingi na sisi hatuko vizuri kwenye kutatua migogoro... kwasababu ya ujanja ujanja.

Mitandao ya simu ina huduma ya kurudisha miamala, ambayo inatumia concept ya "escrow system" lakini tayari watu wanaitumia vibaya. Mtu anakulipa halafu ana-reverse muamala. Wewe uliefanya kazi inachukua muda mpaka uthibitishe kuwa ulistahili hayo malipo. Nani yupo tayari kwa huo usumbufu?

Unaikumbuka saga ya Tegeta Escrow? IPTL ilikuwa ni freelancer anaetoa huduma kwa TANESCO, huduma ambayo kwanza ilikuwa mbovu, haikidhi vigezo vyote... lakini still kwa mujibu wa contract ilikuwa inapokea capacity charge kubwa kuliko kawaida. Na mwisho wa siku tunajua jinsi ilivyokuja kuishia... Richmond, Dowans, Symbion. Hapa ilikula kwa TANESCO, freelancer alijineemesha kwelikweli!

Hiyo mifano miwili ni proof kwamba ujanja ujanja upo kuanzia level za miamala ya bukubuku mpaka miamala ya mabilioni.

BOTTOM LINE:
Aje mtu na payment solution ambayo watu wataiamini na kuitumia kwa masuala ya biashara za kimtandao. Ofcourse zipo bank, zipo huduma za kifedha kwa njia ya simu, mobile money n.k. lakini hakuna aliekuja na suluhisho linalokidhi haja iliyopo.

Hilo ndilo gap ninaloliona, na likizibwa freelancing itakua kwa kasi ya roketi, naturally!
 
Ipo hii
Lakini ndo watumiaji haba
 
Saga la escrow lilikuwa na upigaji.
Mimi nadhani haiwezi kuwa na tatizo as long as kila mnachofanya kinapitia mle. Ikitokea mgogoro wanapitia makubaliano yenu wanatazama nani katimiza upande wake na ndiye anapewa pesa
 
Hao wanaopitia hayo makubaliano ndiyo changamoto, na ndicho ninachokiongelea mimi; hatuna 'Watu' na 'mfumo' ambao sote tunauamini kuwa unaweza kutatua migogoro pasipo ujanja ujanja/ uhuni/ upigaji.
 
Ipo hii
Lakini ndo watumiaji haba
akitafuta team nzuri km alivyofanya kipanya na kp motors yake au elon musk, akafanya promo kwa sponserd ads itapata milestone kubwa
 
Mkuu ni wazo zuri ila lazima tulijenge katika utamaduni Je uko interested kuwekeza katika eneo hilo?Kama uko interested tunaweza jadili Pa Kuanzia.Kwa sasa bado ni concept na inawezekana cha muhimu ni kuiweka katika tamaduni zetu kwanza
mimi ni kundi la wale wenye ideas lakini hawana hela
 
akitafuta team nzuri km alivyofanya kipanya na kp motors yake au elon musk, akafanya promo kwa sponserd ads itapata milestone kubwa
Kipanya ana jina na walau ana capital. Hii kitu imeanza mwanzoni mwa mwaka jana hadi walipata interviews kwenye tv na redion lakini ndo hivyo kazi huko hakuna.
 
Experts wa IT, mthubutu kuanzisha freelancing websites hapa bongo ili tutengeneze character ya kufanya kazi na kulipwa kwa masaa kazi inapokamilika.

Kuna watu wana kazi ndogondogo na nyingine zinahitaji special skills ambazo kwenye ofisi yake labda hana expert wa kukamilisha hiyo task.
Kuondoa usumbufu wa kuajiri on temporary basis, au kutumia resources nyingi kutafuta expert wa kukamilisha kazi fulani. Mfano, mtu anahitaji kufanyiwa data analysis nk

16 Best Freelance Websites to Find Work
  • Upwork.
  • Toptal.
  • Jooble.
  • Freelancer.com.
  • Fiverr.
  • Flexjobs.
  • SimplyHired.
  • Guru.
  • cont.......
Chap i think kibongobongo bado amount ya buyers ni ndogo mno , izo sites apo juu collects worldwide. Kuna Gigspace apa bongo but i think badoo kidogooo
 
Nadhani ipo nimesahau jina ila Haina ushawishi sana
 
Niliwahi mfanyia mtu Kazi za kurekebisa system yake malipo sasa zungusha sana akaja kubadili lain credentials za system
 
Kwa kutarget Tanzania pekee.. ni ngumu labda East Africa
 
Ni wazo zuri sana kama litafanyiwa kazi maana wengi hapa nchini wanatumia mitandao ya nje kwa ishu za freelancing.

Ukianzishwa hapahapa nchini itakuwa ni suluhisho zuri sana kwa wafanyabiashara na IT Professionals.
Sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom