Wataalamu wa katiba naomba mnisaidie ktk ili.

Wataalamu wa katiba naomba mnisaidie ktk ili.

baina

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
219
Reaction score
59
Kwakuwa bunge la katiba linaendelea mpaka sasa, na kwa kuwa kundi kubwa la waliomo humo ni wabunge ambao tuliwachagua sisi na kwa kuwa hao wabunge waliapa kulinda katiba ya JMT, na zaidi kwakuwa ktk katiba ya sasa ya JMT hakuna kifungu chochote kinachowapa madaraka hao jamaa kutunga katiba mpya, je,

1. vikao vinavyoendelea si halali?
2. JE katika mojawapo ya majukumu ya hao wabunge hasa wa JMT ni kutunga katiba?
3. Je ni hakina nani wana mamlaka ya kutunga katiba kama si raisi na wabunge?
4. Kama raisi na wabunge wamevunja viapo vyao ni hakina nani sasa ilibidi waanzishe mchakato huu tangu mwanzoni?
5. Wananchi tuna haki ipi ktk ili suala la katiba?
6. Je kwa ili hao viongozi wetu kisheria wako sawa?

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom